Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters hawa wakaendelea kushusha mamia ya Dua mbaya kwa Mama yetu ambazo hazijapokelewa na Wala hakuna dalili ya kupokelewa.

Makumi ya threads yakashuka jana hiyohiyo kutoka kwa haters wa Mama yetu yakimshutumu yeye na serikali yake. Waliohoji lolote katika kutaka kukazia uelewa na uyakini wa tukio hilo walitukanwa na kubezwa na 'wajuzi' hao wa mambo ya utekaji. Pamoja na jitihada zote hizo za haters, movie Wala haionekani kuuza......raia wamekataa kabisaaa kuelewa sababu sura na macho yake vinasema tofauti na mdomo wake.

Wakiwa wameumbuka tayari, haters Leo wamejifichia kwenye habari ya mwenyekiti wa bavicha hawana time kabisa na ile movie. Mnafikiri kosa lilikuwa wapi kwenye uchezaji wa hii movie? Karibuni wadau kwa michango murua kwa faida ya kizazi hiki na kijacho.
Umeandika ujinga tupu. Washirikishe wapumbavu wenzako
 
movie kama ile kumkosa starling wa hizi kazi Abdul nondo lazima ikosewe tu,

uzuri ni kwamba starling wa ile movie part2, anadai eti watekaji walimuogopa sana na ndio maana hakwenda kuripoti hata polisi, badala yake akaenda zake home tu kupumzika 🐒
Dah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani nyie ndiyo mliocheza kadrama au?
Ilipaswa Abdul nondo awe starling, sasa huyo mbibi akang'ang'ana mwenywe tu,

huyo huyo script writer, director na actor ndiyo maana ikawa hivyo ilivyokua 🐒
 
Back
Top Bottom