makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwa eneo nililopo fremu ndio zina faida zaidiHiyo ni chumba jiko na choo. Upangishaji wenye mahitaji makubwa kwa sasa ni wa chumba kimoja chenye huduma muhimu. Yaani kulala kupika na kuoga. Upangishaji wa pili ni kuongeza lounge/sebule labda na store.
Apartment ni nini?weka hiyo ramani, isije ikawa ni chumba na choo ndio apartment moja
[emoji1787]... Hongera....Wadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Inatosha kupandisha tofali tuuu..na pengine kwa kujibana sana na kupauaWadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Apartment n 1 chumba, fleti US ~Apartment ni nini?
JokeWadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Kwa ulivyo ongeza sebule unapata apartment tatu(3) nzuri kabisa. Wewe uwe na kiwanja. Zikikamilika ukatafute pesa za TANESCO, Uzio na ujenzi wa mfumo wa maji taka.Wadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Hazitoshi bro, labda kama unataka kujenga za miti na matope. Hiyo inatosha chumba na sebule tuu pamoja na choo cha njeWadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Mkuu kwema.Wadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Mlango kama huo bei ganiMkuu kwema.
Naomba uwasiliane na UVIMO ambao Ni jumuia ya mafundi ili wakufanyie tathimini (BOQ) ya hyo pesa...
inawezekana kabisa ikiwa una kila kitu...kiwanja, cement, nondo, mabati etc...hiyo itatoka kununulia mchanga, nondo na kulipa mafundiWadau naomben ushaur kwa 17mil naweza kujenga apartment nne zenye room moja ya kulala na sitting room plus choo na jiko?
Msaada tafadhali
Hii ndiyo sababu watu wenye kipato kidogo ndiyo wanaojenga. Wengine wanasubiri m 17 wanunue mchanga na nondo.inawezekana kabisa ikiwa una kila kitu...kiwanja, cemnt, nondo, mabati etc...hiyo itatoka kununulia mchanga, nondo na kulipa mafundi
MILIONI 17 UNAWEZA KUJENGA NYUMBA/APARTMENT 4. Unavuta nini wewe?Hii ndiyo sababu watu wenye kipato kidogo ndiyo wanaojenga. Wengine wanasubiri m 17 wanunue mchanga na nondo.
UnawezaMILIONI 17 UNAWEZA KUJENGA NYUMBA/APARTMENT 4. Unavuta nini wewe?
Akili yako imeishia hapo! mwanzo nimetoa hesabu ya apartment yenye one self bedroom with kitchen angalia ili ujue navuta nini? Kama umewahi kujenga na kusimamia utajua 17m inaweza jenga nyumba ngapi za size hiyo.MILIONI 17 UNAWEZA KUJENGA NYUMBA/APARTMENT 4. Unavuta nini wewe?
wewe ni mpumbavu. bila shaka ulikimbia hesabu shule hata hivyo Watu ambao hamjawahi kujenga au kusimamia ujenzi mna mawazo finyu sanaAkili yako imeishia hapo! mwanzo nimetoa hesabu ya apartment yenye one self bedroom with kitchen angalia ili ujue navuta nini? Kama umewahi kujenga na kusimamia utajua 17m inaweza jenga nyumba ngapi za size hiyo.
Siyo rahisi, labda ndotoniUnaweza