Wadau msaada wenu tafadhali, I have a hard times

aisee true love hiyo pia usitegemee kuwa kitu kizuri kiutakosa changamoto..kwa mimi ntampenda sana huyo binti maana amegundua true love sio kuwa na gari au pesa kama shombe alivomfanyia..pia ashakuwakiakili huyo binti.....kingine mzazi anaamini we fukara hutakiwi kumuoa so bado ana mentalit ya biinti yangu aolewe a nayejielewa au mwenye pesa sijui kazi inaeleweka...ila maisha hakuna ajuaye kesho...anawea olewa na hao ikawa majanga..cha muhimu vumilia sali sana pia ila si lazima kukimbilia kwao huyo binmti usiende kwa kuwa ni mtu mzima muonane kwingine tu...pia kiitokea kitu ripoti tu kama alert.............
 
Nash

Nashukuru sana mkuu
 
Aliyemalizia ataniadithia
Jamaa sura ngumu kapendwa na mrembo, katambulishwa kwao wazee wakamkubali na kumfurahia ila nyuma ya pazia mzee katafuta vijana wa UKUTA wakamfinya kidogo kisha akaongea na mzee via 4n achague kuishi au kufa akimng'ang'ania mrembo.
 
Back
Top Bottom