Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

AUDI naomba kujua uzuri na ubaya wake
Model ipi? / Toleo la mwaka gani? - Hizi ni taarifa mbili muhimu ambazo inatakiwa zifahamike kwanza.

Ila kimsingi AUDI ni nzuri, gari zake ni imara, Tatizo liko kwetu tumekariri kampuni ya Toyota zaidi.
 
Wale wa fuel consumption wakae humu hasa kwenye audi ndogo ndogo hizi kina A3
 
Waaminifu kama Befoward kwamba ukituma hela utapata gari yako.
Sio uaminifu wa hela. Yani hiyo link ndio kwa Sinagpore wanauza magari yenye ubora na sio mabovu kama ulivyosema hapo juu?

Swali lingine.....ili kusema gari ya nchi fulani ni mbovu inabidi baada ya kuipokea uiendeshe au uitumie kwa muda gani au kilometa ngapi then likiharibika before hapo ndio utasema kweli gari za Singapore au Japan au Dubai au United Kingdom ni kimeo???

Maana pia Bandari kuna mikangafu kibao kutoka Japan mingine mpaka inavutwa yani imegoma kutembea.
Mikweche mingine ya Japan unaiona hata barabarani ya mkweche una namba D ila sasa unaambiwa imeingia nchini ina kama miezi 2

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kila mahali kuna magari mabovu na mazima. Haina maana magari yote ya Singapore ni mabovu au yote ya Japan mazima.
Ni probability. Japan ni afadhali kuliko Singapore. Pia maneno yangu si sheria. Inaweza kuwa niko wrong vile vile.
 
Aah sawa nimekupata.

Nadhani pia jambo la muhimu kuongeza ni kua watu wasipende kuchagua 'the cheapest of them all'

Mfano ktk mnada husika range ya gari fulani ni dola 500 -3,500.....wamatumbi wengi wanakimbilia la Dola 500......nadhani probability ya kununua mkweche inakua kubwa. Au nakosea?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Labda ni kweli maanake gari za Singapore ni nafuu kuliko Japan ukichukua same make same age.
 
Labda ni kweli maanake gari za Singapore ni nafuu kuliko Japan ukichukua same make same age.
Singapore hakuna kitu mkuu sio swala la watu kupenda vya bei ndogo shida mengi yao unayakuta na mechanical complaints asilimia kubwa. Tofauti kidogo na japanese cars fanya uchunguzi kwa importers wa magari ulete mrejesho hapa
 
Sasa mbona asilimia kubwa kama sio yote ya mikweche tunayoiona road ni kutoka Japan?

Unanunua kitu cheap unategemea 'an almost-brand -new-quality'

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Kawaulize impoters wanaoingiza gari bongo utapata ufahamu na sio kila mtu ananunua stock cheap. It seems unaongelea biashara ya magari bila kuwa na uelewa nayo
 
kaka hebu tupatie gari za mzungu ambazo zina cc kubwa lakin ualaji wake wa mafuta ni rahis has kwa maisha yetu

Unaweza changanya brand mbalimbali kulingana na unazozifaham ili tuachane kabisa na hawa wajapan
 
Land rover Discovery nazikubali Sana kwenye upande wa mafuta Kwa kweli inakula kawaida Sana na balaa lake ni kubwa barabarani, angalizo hapa nazungumzia ya dizel , mm natoa uziefu wa disco 2
kaka hebu tupatie gari za mzungu ambazo zina cc kubwa lakin ualaji wake wa mafuta ni rahis has kwa maisha yetu

Unaweza changanya brand mbalimbali kulingana na unazozifaham ili tuachane kabisa na hawa wajapanaiaee
 
Land rover Discovery nazikubali Sana kwenye upande wa mafuta Kwa kweli inakula kawaida Sana na balaa lake ni kubwa barabarani, angalizo hapa nazungumzia ya dizel , mm natoa uziefu wa disco 2
ok ok

Kwa uzoefu wako unazan inaweza enda km ngapi kwa lita moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…