Executive Diary
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 325
- 824
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wale pia walikuwa na mashamba ya vitunguu. Watu wakawekeza pesa ikapotea shambanHivi hawa wanatofauti gani na wale waliokuwa wanafanyia promo ufugaji wa sungura?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???
Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.
Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???
Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Kangi Lugola na Thomas Andengesye.......walikuwa na naibu AG lakini wakauvaa mkenge.Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???
Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.
Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???
Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???
Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.
Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???
Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.
Sent using Jamii Forums mobile app
uoga wako ndio umasikini wako, mradi upo, kuku wapo, wasipokulipa si unaenda hapo kigamboni kubeba kuku? wekeza wewe acha uoga
Sidhani. Angekuwa anaingiza kwenye biashara zinalipa faster basi kukopa toka benki ndiyo ingekuwa ni njia nzuri zaidi. Umeona faida anayodai kuwa atatoa kwa wawekezaji tena kwa muda mfupi sana? Hata riba ya benki ni ndogo! Huu ni utapeli tu.Nimeliona tangozo nikacheka sanaaa,
In short ukitoa hela inazungushwa kwenye biashara zinazoingiza hela fasta,jamaa anamake faida kubwa kwa kutumia mitaji ya watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya miezi mitatu unapata 70%Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.
Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.
Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.
Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.
Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?
Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?
Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
Sasa swali fikirishi, je zama hizi kuna mtu mwenye imani kiasi hiko!? Yani umpe mtu 1m akupe 1.7m mpaka 2m in less than a year?🤣🤣🤣Baada ya miezi mitatu unapata 70%
Baada ya miezi sita unapata 100%.
Huyo jamaa ana huruma kwa walalahoi sana. Nasema ana huruma kwa sababu hiyo fedha anayolipa walalahoi waliowekeza kwake ni kubwa mara dufu ukilinganisha na interest ambayo angelipa kama angeamua kukopa benki ili kuendesha biashara yake. Angechukuwa mkopo benki wa kuendesha huo mradi angepata faidia zaidi kuliko hizo gharama zote anazowalipa walalahoi. Du, huruma iliyoje!
Hakuna kabisa. Huo ni utapeli kama ulivyo utapeli mwingine. Hata wewe ukiamua kufuga kuku mwenyewe, kwa miezi sita, hiyo faida hupati. Sasa hapo fikiria anadai baada ya miezi sita atakulipa faida mara mbili (kumbuka na hapo napo atakuwa ameshachukuwa faida yake + gharama za uendashaji)! Mahokaaa!Sasa swali fikirishi, je zama hizi kuna mtu mwenye imani kiasi hiko!? Yani umpe mtu 1m akupe 1.7m mpaka 2m in less than a year?🤣🤣🤣
ukabebe kuku kwa utaratibu huo so jela itakuhusuuoga wako ndio umasikini wako, mradi upo, kuku wapo, wasipokulipa si unaenda hapo kigamboni kubeba kuku? wekeza wewe acha uoga
Kwanini usimpe hela akafuga hapo nyumbani, na Uzuri wa Dar soko lipoMimi mama yangu anaogopa maji balaa.hata kupanda meli hawezi.ila nilishangaa kusikia alipanda pantoni akaenda kigamboni kwenye mradi huo wa kuku bila kufuga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni tu
Sent using Jamii Forums mobile app