Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

Sikia watoto wa mjini ikitokea mishe kama hii huwa wanajiunga ikiwa bado mbichiii ikiwa bado mpya wakati huo wanajaribubkuaminisha watu kwamba ni real so wana act real mipungabnjenje wanamwagabpesa balaa ili nyie muite wengine kwa ushuuda etcetc sasa basi ukishaona watu washakuwa wengiiii na watu kibao wanajiunga ujue wanakaribia kusepa so mm kama mshikaji wako nakwambiaje umeshachelewa miaka mitatu yote iliopita ulipaswa uwe umeshaingia saiv bomu linakaribia kuripuka mda sio mrefuu watasepa na kijiji cha watu wanasubiria tu mazuzu yajaee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeliona tangozo nikacheka sanaaa,
In short ukitoa hela inazungushwa kwenye biashara zinazoingiza hela fasta,jamaa anamake faida kubwa kwa kutumia mitaji ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???

Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.

Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???

Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.

Chief huitaji kuwa na mwanasheria kujua utapeli. Juzi lati nimemtapeli mwanasheria kiboya tu [emoji3]
 
Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???

Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.

Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???

Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha Kangi Lugola na Thomas Andengesye.......walikuwa na naibu AG lakini wakauvaa mkenge.

Mwanasheria ndio nani bwashee?!!!
 
Moja ya watu matapeli ni wanasheria tena wanatapeli kiharali huku unajiona
Ila watz sijui tutaacha lini hizi mentality za kuhisiana utapeli kila pale inapotokea nafasi ya kuitana kwenye fursa.Kwani ni wangapi wanaotapeliana kimya kimya???

Kuna watu wengi humu wanajibu kulingana na hisia zao na mitazamo yao lakini hawajawahi kwenda ktk huo mradi na wala hata hawajui kinachofanyika huko kina sura gani.

Hao jamaa wanakuruhusu kwenda na mwanasheria wako na muwahoji kila kinachowatia masgaka km vile wao wanapataje faida,uhalali wa kampuni,mkataba wako na kampuni na pia uzungukie mradi kujionea shughuli zinazofanyika na mengineyo.Sasa jiulize ni wangapi mmeshaenda hata kujuamradi unafanyaje kazi???

Km utaenda na mwanasheria mkashindwa kuelewa uhalali wa hao jamaa na mfumo mzima wa shughuli yao basi nitawaina hai jamaa ni magenious.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeliona tangozo nikacheka sanaaa,
In short ukitoa hela inazungushwa kwenye biashara zinazoingiza hela fasta,jamaa anamake faida kubwa kwa kutumia mitaji ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani. Angekuwa anaingiza kwenye biashara zinalipa faster basi kukopa toka benki ndiyo ingekuwa ni njia nzuri zaidi. Umeona faida anayodai kuwa atatoa kwa wawekezaji tena kwa muda mfupi sana? Hata riba ya benki ni ndogo! Huu ni utapeli tu.
 
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi.

Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi.

Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na kuweka hela benki tu ikiwa baada ya miezi 3 unaweza draw 70% ya ulichowekeza na baada ya miezi sita una uwezo wa kuchota 100% ya pesa yako.

Kama tujuavyo kwamba mtu alieng'atwa na nyoka huwa haishi maseke hata anapotambaliwa na jani, basi lazma atarusha miguu tu.

Naomba kwa heshima na taadhima niambiwe na wadau wenzangu wajasiriamali kwa wafanyabiashara. Je, huu mradi ni halisi?

Ni business model gani wanatumia? Na je, kuna hiyo leverage ya kupelekea kutoa gawio kwa rates hizo kwa muda wanaodai wanaweza?

Kama kuna ambaye amepiga hela kupitia hao jamaa aje amwage terms zao na ushuhuda kuwa kapiga dough kweli.
Baada ya miezi mitatu unapata 70%
Baada ya miezi sita unapata 100%.
Huyo jamaa ana huruma kwa walalahoi sana. Nasema ana huruma kwa sababu hiyo fedha anayolipa walalahoi waliowekeza kwake ni kubwa mara dufu ukilinganisha na interest ambayo angelipa kama angeamua kukopa benki ili kuendesha biashara yake. Angechukuwa mkopo benki wa kuendesha huo mradi angepata faidia zaidi kuliko hizo gharama zote anazowalipa walalahoi. Du, huruma iliyoje!
 
Sasa swali fikirishi, je zama hizi kuna mtu mwenye imani kiasi hiko!? Yani umpe mtu 1m akupe 1.7m mpaka 2m in less than a year?🤣🤣🤣
 
Hakuna kabisa. Huo ni utapeli kama ulivyo utapeli mwingine. Hata wewe ukiamua kufuga kuku mwenyewe, kwa miezi sita, hiyo faida hupati. Sasa hapo fikiria anadai baada ya miezi sita atakulipa faida mara mbili (kumbuka na hapo napo atakuwa ameshachukuwa faida yake + gharama za uendashaji)! Mahokaaa!
 
Wajinga ndo waliwao, na watanzania wengi ni wajinga na katakana hao wajinga wengi wao wanaelekea kwenye upumbavu. Mpumbavu ni yule asiyejifunza kutokana na makosa. Huu ni utapeli mkubwa sana ambao mtu mwenye akili ndogo akiitumia akili yake ndogo anajua huu ni utapeli. Bank za Tanzania zinatoa mkopo wenye riba ya asilimia 20 kwa mwaka, ila hao Mr Kuku wameamua kuchukua mkopo wenye riba ya asilimia 200 kwa mwaka. Hao Mr Kuku wanashindwa nini kuchukua mkopo bank ili kumaximize faida yao.? Ni suala la muda tu mambo yatajibu an watu watalia.
 
HAWA WATU KAMWE HAWATAKUJA KUISHA MAADAM KUNA SOKO KUBWA, SOKO LA WATU WENYE KIU YA HIARI YA KUTAPELIWA.NAAM MATAPELI WATAKUJA KWA NJIA NYINGI NA NYINGINEZO ZINAONEKANA NI HALALI HIVI. ENZI ZA DECI WATU WALIKUWA WANAANZA NA MAOMBI NA KUMKEMEA SHETANI!!

WALIANZA DECI, NAMAINGO, HATA VYAMA VYA KUWEKA NA KUKOPA BADO WATU WANATAPELIWA, NDIO HAWA SASA. JE UNA NYOTA YA KUTAPELIWA? BASI JIUNGE NAO.

There are no shortcuts to success.........
 
Back
Top Bottom