Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,778
Reaction score
8,232
Salaam:
Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola.
Naomba kujua taarifa zifuatazo.

1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo

2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko.
Yaani madini ya gram,na ya matani.

3. Mitandao ipi ya simu huko ipo
4. Umbali wa kutoka Ikola port hadi bandari Kalemie upande wa Congo

5. Vipi mkoa wa Tanganyika nchini Congo kuna madini gani kule hali ya usalama ipoje,vipi hali ya biashara ya chakula kutoka Tanzania mfano mazao ya chakula
6: Hali ya misitu na ukijani kwa Wilaya ya Tanganyika ipoje udongo ni wa rangi gani kule
7: Umbali gani na hifadhi ya taifa toka Ikola
8: Vipi upatikanaji wa vibarua wa kazi hari zao zipoje wachapakazi au longlongo
9: Vipi mtandao wa barabara usafiri Ikola port hadi Mpanda au kulink na maeneo mengine upoje
10: Vipi hali ya usalama kwa wafanyabiashara Wilaya ya Tanganyika upoje kwa maana ya matukio
11: Jiografia ya wilaya ya Tanganyika ipoje kwa kigezo cha milima na mabonde tambarare kipi zaidi
12: Hali ya hewa vipi jua sana, mvua sana, katikati
13: Kwa ishu za kiimani ni madhehebu gani sana yametawala huko
14: Tabia za watu general zipoje
15: Hali ya misitu ipoje ipo mingi au wamevamia sana shughuli za uvunaji mbao zipoje huko.
16: Kutoka mpanda hadi Sumbawanga ni masaa mangapi kwa bus,pia mpanda Kigoma ni masaa mangapi? Barabara ni lami,changarawe
17: Haya mazao umeshawahi yaona huko cocoa, michikichi,minazi,katani,ndizi mzuzu je ustawi wake upoje.
18: Hali ya migogoro ya wakulima na wafugaji kuingilia kwenye ardhi ipoje
19:Wilaya ya Tanganyika ina kata ngapi na je zote zinaingiliana kwa wepesi na haraka?
20: Naendelea kuuliza maswali mengine kadri
Asante
 
Kuna uzi kama huu hasa maeneo ya Mpanda huko.....ukiupata ni mtamu sanaa una maarifa mengi
 
Nikipata link maana naomba mpanda zinakuja nyingi
 
Hivi wewe unafikiri bakongolee hawataki hayo madini?
wanakula mpk gorilla,funza,minyoo Wanawakanyaga mama zao na mabinti zao hote kupata hela.
Unamkumbuka King Dodoo Labushe hakanyagi kule, Nyoshi huyo mpaka leo yuko kinondoni analelewa haendi kule.
Unafkiria hawapendi madini?
Rwanda, Burundi, Uganda wanatwangana humo ndani wanagombea nini?
Jeshi la Sadc wamesindikizwa mpakani waondoke kiroho safi.
Kuna uzi humu wa jamaa toka kigoma kwenda Kalemie alichokipata anajua utafute.
 
mkuu umekula skanka umechanganya mambo ugali na wali kwa pamoja
 
Hata ungeandikiwa essay ya majibu lakini kikubwa ni ufike ujionee...Yan uingiliane na wenyeji....otherwise tutahangaika.
 
Back
Top Bottom