Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

Ofisho mlinzi

Member
Joined
Nov 8, 2021
Posts
6
Reaction score
0
Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
 
Mwajiri/Ofisi yako inatakiwa iingie makubaliano na Bank husika. Kisha mishahara ya wafanyakazi wote wanaohitaji kukopa ipite kwenye hiyo bank, na mojawapo ya viambatanishi ni mikataba yenu......pia kwa mkataba wa miezi 12 wanakopesha kwa miezi 10. Wengine wataendlea
 
Back
Top Bottom