Hamna biashara yenye kulipa fasta ambao haifanywi mjini..either iwe ina investment kubwa sana ktk mtaji au iwe inatumia technolojia ya hali ya juu..
Nakushauri usifate ushauri wa mtu hamna biashara kwa mkupuo mmoja ikakulipa million moja..angalia kitu unachokipenda au unajua ukikifanya utapenda then fata kichwa chako..kila biashara ni mbaya ukiwa na usimamizi mbovu..kama una usimamizi mzuri kila biashara ni nzuri..kwa million 10 nakushauri kafunguo duka la kuuza vyuma kama square pipes na angle lines na vinavyofanana na ivyo..tafuta sehem inayoendelezewa kiujenzi..