jiwelampaka
Senior Member
- Jul 8, 2017
- 101
- 46
Mkuu hii forex ndo biashara gan maan naisikia sikia iviiBeti au fanya FOREX.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii forex ndo biashara gan maan naisikia sikia iviiBeti au fanya FOREX.
Dagaa wapi wanaenda vizuri? Wale Wa ziwa Tanganyika au Victoria Mkuu? Na hapo dar wana bei gani?Habari ni Nzuri mwanajukwaa mwenzetu, japokuwa zipo ideas nyingi za biashara gani ya kufanya the big issue ni kununua experience za wanajukwaa ambao tayari wanauzoefu katika biashara tofauti x2, kwa mfano ukiwa na uhakika wa soko la kuuzia unaweza kuchukua dagaa kanda ya ziwa na kuzileta Dar.
Mkuu iz pm sio bhnaa Y usibwage manyanga hap maana sio yeye tu mwenyeuitajmkuu ni PM nikupe idea, seriously
Kuna jamaa anajiita [HASHTAG]#Ontario[/HASHTAG] nadhani ndio atakusaidia vizuri.Mkuu hii forex ndo biashara gan maan naisikia sikia ivii
Sasa mkuu mtaji wa ml15 ukapate faida ya lak 6 kwa mwezi aaah haijakaa poah iyooMleta mleta maada Mimi ni memwelewa yeye anachotaka business ambayo itakuwa INA mwingizia hela ya haraka. Ni rahisi sanaa tafuta sehemu yenye mikusanyiko ya watu wengi eidha sokoni au karibu na stand ya bus au kodi chumba kitengeneza kiusalama zaidi chukua line zako za airtelmoney,Voda MPesa,tigopesa ,jaza fedha anza kazi mkuu usisahau kuweka na vocha za reja reja na kuchaji simu ,vifa vidogo vidogo vya simu kama charge na vinginevyo nakwambia kwa mwezi hukosi laki sits ya faida
Thanx ngoja nimsakeKuna jamaa anajiita [HASHTAG]#Ontario[/HASHTAG] nadhani ndio atakusaidia vizuri.
Upo uzi unaelezea hii kitu humu.
WordWengi wenye hela hawana mawazo ya biashara.Lakn wasio na hela wana mawazo mazuur ya biashara.Kazi kwel kwel
Nakazia hapaMkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
Mungu hatoi vyoote.Wengi wenye hela hawana mawazo ya biashara.Lakn wasio na hela wana mawazo mazuur ya biashara.Kazi kwel kwel
vipi mkuu hebu toa ufafanuzi wa hii ishu nahisi nipo interestedKarbu tuinvest katika lending nicheck pm,nina ofisi nina kila kitu ww utainvest dhen tutakubaliana kiasi gan niwe nakulipa kwa kila mwez na baada ya muda flan ntakupa capital yako.
....riba haramu, na pesa si bisshara.Karbu tuinvest katika lending nicheck pm,nina ofisi nina kila kitu ww utainvest dhen tutakubaliana kiasi gan niwe nakulipa kwa kila mwez na baada ya muda flan ntakupa capital yako.
pia nina mtu anauza hyo mashine pamoja na nyumba i mean kiwanda chote less than 20MKuna mtu hum alikuwa anauza mashine za alizet(kiwanda) iko ful mpka vibali mpaka brand tafuta huo uzi
Unakuta n hela ya urithi labda.... au tatu mzuka... au biko... kapata hizo PESA...Alaf kitu kingine wadau ivi hadi mtu unashika mil 15 hujui kweli ni biashara gani ufanye? Kwamba hujawahi kifanya biashara au?ulizipataje ela zote kwa mkupuo.na kama ulifanya biashara ukapata izo mil 15 hukupata changamoto yyte katika biashara adi ujue ni biashara gani unatakiwa uiendelezee kwa ela utayoipata..kama ulikua umeajiliwa kwa adi mtu kufikisha izo mil 15 bado swali kubwa sana bila kujaribu ata vibusiness vidogo...mtu mwenye mil 15 mkononi akiniomba wazo la biashara bado nna maswali mengi sana ya kumuuliza..unaweza kukuta jamaa anatupasua vichwa tu apa..
Anhaa apo sawa..Unakuta n hela ya urithi labda.... au tatu mzuka... au biko... kapata hizo PESA...
Ndio ivo mkuu kwenye miti hakuna wajenziWengi wenye hela hawana mawazo ya biashara.Lakn wasio na hela wana mawazo mazuur ya biashara.Kazi kwel kwel