Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Hamna biashara yenye kulipa fasta ambao haifanywi mjini..either iwe ina investment kubwa sana ktk mtaji au iwe inatumia technolojia ya hali ya juu..

Nakushauri usifate ushauri wa mtu hamna biashara kwa mkupuo mmoja ikakulipa million moja..angalia kitu unachokipenda au unajua ukikifanya utapenda then fata kichwa chako..kila biashara ni mbaya ukiwa na usimamizi mbovu..kama una usimamizi mzuri kila biashara ni nzuri..kwa million 10 nakushauri kafunguo duka la kuuza vyuma kama square pipes na angle lines na vinavyofanana na ivyo..tafuta sehem inayoendelezewa kiujenzi..
 
Asante mkuu, kuni unachukua wapi mkuu na soko lake ni kubwa kiasi gani?
Me nachukua pwan kisarawe kuna kijiji kinaitwa mafumb ...soko lipo sana sabb ndo nishat weng wanayoitumia kwasasa ......mm mwenyew nna sehem mbili za rejareja na znatoka sana ...mauzo huwa hayapungui elf sabini mpka lak
 
Ukipiga hesab ya faida hujapiga hesabu ya wapikaji na washushaji hujapiga hesabu ya vibali hapo jumlisha na kod ya pango plus mshahara wa mfanyakazi ..mlinzi je?? Msipende kudanganya watu kwa hesabu rahis
Usikurupuke ..adabu nikuuliza jambo usilolifaham kabla ya kuongea tu ....io hela imekamilisha kila kitu pamoja na vibal na wapakiaji shamban .....gharama iko kwa kushusha mzgo wew mwenyew ....na kuhusu eneo huwez mtafuta mtu akuletee mzgo ukiwa huna sehem ya kuweka ....io bei ya faida mtu anakuwa kashatayarsha eneo na mengne....ila watu wameelewa labda wew
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!

Ushauri wangu tunza hela zako! wazo huwa linatangulia halafu linaboreshwa, kwa wewe unayetafuta, mh, nakuonea huruma! labda ununue gov't bonds
 
Mleta mleta maada Mimi ni memwelewa yeye anachotaka business ambayo itakuwa INA mwingizia hela ya haraka. Ni rahisi sanaa tafuta sehemu yenye mikusanyiko ya watu wengi eidha sokoni au karibu na stand ya bus au kodi chumba kitengeneza kiusalama zaidi chukua line zako za airtelmoney,Voda MPesa,tigopesa ,jaza fedha anza kazi mkuu usisahau kuweka na vocha za reja reja na kuchaji simu ,vifa vidogo vidogo vya simu kama charge na vinginevyo nakwambia kwa mwezi hukosi laki sits ya faida
 
Hamna biashara yenye kulipa fasta ambao haifanywi mjini..either iwe ina investment kubwa sana ktk mtaji au iwe inatumia technolojia ya hali ya juu..

Nakushauri usifate ushauri wa mtu hamna biashara kwa mkupuo mmoja ikakulipa million moja..angalia kitu unachokipenda au unajua ukikifanya utapenda then fata kichwa chako..kila biashara ni mbaya ukiwa na usimamizi mbovu..kama una usimamizi mzuri kila biashara ni nzuri..kwa million 10 nakushauri kafunguo duka la kuuza vyuma kama square pipes na angle lines na vinavyofanana na ivyo..tafuta sehem inayoendelezewa kiujenzi..

sure, asante kwa ushauri
 
Mleta mleta maada Mimi ni memwelewa yeye anachotaka business ambayo itakuwa INA mwingizia hela ya haraka. Ni rahisi sanaa tafuta sehemu yenye mikusanyiko ya watu wengi eidha sokoni au karibu na stand ya bus au kodi chumba kitengeneza kiusalama zaidi chukua line zako za airtelmoney,Voda MPesa,tigopesa ,jaza fedha anza kazi mkuu usisahau kuweka na vocha za reja reja na kuchaji simu ,vifa vidogo vidogo vya simu kama charge na vinginevyo nakwambia kwa mwezi hukosi laki sits ya faida

asante mkuu, hii nishwahi kujaribu ila haikuwa sehemu nzuri na wakati huo pia sikuwa na watu nikashindwa, ngoja nijaribu kutafuta sehemu nzuri, sema nyingi ziko occupied sana.
 
Ukipiga hesab ya faida hujapiga hesabu ya wapikaji na washushaji hujapiga hesabu ya vibali hapo jumlisha na kod ya pango plus mshahara wa mfanyakazi ..mlinzi je?? Msipende kudanganya watu kwa hesabu rahis
Nimeishangaa hiyo hesabu pia sijaona hata gharama ya usafiri hapo.
 
Hujaona gharama ya usafir ?? ...soma vizur hio hela ya kuletewa Mzgo imejumuisha kila kitu mpka unaletewa mzgo .......ukifka kuushusha n gharama zako
 
Habari wanajukwaa.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuomba wazo la biashara ambayo ninaweza kufanya kwa DSM au kwingine, ila pia iweze kuajiri watu wanaonitegemea, kama 4 hivi kwa kuwa maswala ya ajira yamekuwa pia ngumu. Kama nilivyosema mtaji kwa sasa ninayo 10-15milion, lakini pia biashara kama itaanza vizuri naweza kukopa kuongezea mtaji.

Ningependelea biashara ambayo inaweza kuwa na mzunguko wa haraka lakini pia kwa usimamizi sioni tatizo kwa kuwa tayari ninao watu. Nimefikiria muda mrefu kidg sijapata wazo zuri na productive.

Kama kuna sehemu naweza kupata hata maelekezo ya namana kuanzisha biashara kwa vitendo naweza kwenda.

Naombeni msaada jamani kweli hili nipo serious siyo utani. Samahani pia pengine wazo langu sijaliweka vizuri kwa kuwa mie si mwandishi mzuri pia.

Natanguliza shukrani!
Habari ni Nzuri mwanajukwaa mwenzetu, japokuwa zipo ideas nyingi za biashara gani ya kufanya the big issue ni kununua experience za wanajukwaa ambao tayari wanauzoefu katika biashara tofauti x2, kwa mfano ukiwa na uhakika wa soko la kuuzia unaweza kuchukua dagaa kanda ya ziwa na kuzileta Dar.
 
Ushauri wangu tunza hela zako! wazo huwa linatangulia halafu linaboreshwa, kwa wewe unayetafuta, mh, nakuonea huruma! labda ununue gov't bonds

Asante mkuu, sina uzoefu na govt bonds mkuu, ngoja nifuatilie.
 
Better that ndugu yangu, au nunua eneo kwenye growing area, acha hela zikue hapo, usisikilize ushauri wa biashara kwa kweli, biashara mi naamini inaanzia ndani kwa watu wenye hela za kutafuta kama mimi na wewe!
 
Mim napend kukushauri kaa chini au tafuta mtu akuandalie busness plan kuhusu masual ya kilimo coz kilimo hakina kodi wala kusumbuliwa na TRA.
 
Back
Top Bottom