Wadau naomba wazo la biashara, nina mtaji wa 10M-15M

Dagaa wapi wanaenda vizuri? Wale Wa ziwa Tanganyika au Victoria Mkuu? Na hapo dar wana bei gani?

Ntashkuru kama utanijibu
 
Sasa mkuu mtaji wa ml15 ukapate faida ya lak 6 kwa mwezi aaah haijakaa poah iyoo
 
Alaf kitu kingine wadau ivi hadi mtu unashika mil 15 hujui kweli ni biashara gani ufanye? Kwamba hujawahi kifanya biashara au?ulizipataje ela zote kwa mkupuo.na kama ulifanya biashara ukapata izo mil 15 hukupata changamoto yyte katika biashara adi ujue ni biashara gani unatakiwa uiendelezee kwa ela utayoipata..kama ulikua umeajiliwa kwa adi mtu kufikisha izo mil 15 bado swali kubwa sana bila kujaribu ata vibusiness vidogo...mtu mwenye mil 15 mkononi akiniomba wazo la biashara bado nna maswali mengi sana ya kumuuliza..unaweza kukuta jamaa anatupasua vichwa tu apa..
 
Hamna biashara ya mil 15 ambao itajilipa kama unavyofikiria..watu wananunua hiace mil 22 inawalipa baada ya miaka mitatu au miwili na nusu we mil 15 tu ikuingizie kwa haraka namna hiyo never..

Mods funga uzi huu.
 
Mkuu, fungua biashara ya mgahawa wa chakula, uwe msafi na chakula kizuri, customer care iwe mzuri. Jina ulite Dr.Shika best food, Dr. Shika uramchangia 30 kila mwezi za kutumia jina lake. Ukitoka unikumbuke kwenye mafanikio yako
Nakazia hapa
 
Karbu tuinvest katika lending nicheck pm,nina ofisi nina kila kitu ww utainvest dhen tutakubaliana kiasi gan niwe nakulipa kwa kila mwez na baada ya muda flan ntakupa capital yako.
vipi mkuu hebu toa ufafanuzi wa hii ishu nahisi nipo interested
 
Karbu tuinvest katika lending nicheck pm,nina ofisi nina kila kitu ww utainvest dhen tutakubaliana kiasi gan niwe nakulipa kwa kila mwez na baada ya muda flan ntakupa capital yako.
....riba haramu, na pesa si bisshara.
 
Unakuta n hela ya urithi labda.... au tatu mzuka... au biko... kapata hizo PESA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…