Mi nafikiri unamfahamu kwa kiasi kikubwa ndo maana ukamchukua akusimamie miradi yako na ukizingatia ni kaka yako.Mimi ni mwanaume wa miaka 39 nimeoa ninawatoto kadhaa ..nje ya ajira pia ni mjasiliamali ,kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na za kiserikali..
Ilinilazimu kumchukua kaka yangu mkubwa kwa ajili ya kusimamia zoezi hilo ili aweze kujikimu yeye na familia yake..nilimuhamisha yeye na familia yake ili waje nilipo.
Tumefanya kazi takribani miaka 3 bila shida ,miradi ipo mingi pesa ipo mambo yanaenda vyema na familia yake inastaawi vyema ..lakini isivyo bahati mambo hayawezi kuwa mteremko kila siku baadhi ya miradi ilisizi kipato kikapungua zile pesa za usimamizi zikawa si nyingi kama zamani niliyumba kwa upande huo
Baada ya muda naanza kuona uzito wa utendaji kazi wake ..hata nikimuagiza kazi hafanyi kwa ukamilifu hayuko commited tena ,mzito ukimuita hafiki kwa wakati ..
Nikaanza yafutayo
1.nilibadili usafiri niliokuwa natumia awali so inawezekana hakupenda au alitaka nimtendee hivyo hivyo kama nilivyojitendea mimi
2.nilianza kuwekeza kwa kununua mali zisizohamishika na kuwekeza kwenye real estate
3.nilianza kuexpend biashara nyingine zaidi
Na yote hayo nilikuwa nikimshirikisha hatua kwa hatua ili asijiskie vibaya kuona namtenga ndugu yangu na kiukweli alikuwa msaada mkubwa kwangu nahisi aliona hafaidiki kwa upande wake..nilijitahidi kumfanyia yafuatayo..
Kumtafutia uwanja japo alinyanyua boma nikamsaidia renta na kupaua ili akae pazuri na familia yake lakini pia
Iwe shida yoyote kwenye familia yake ikitokea auamwe yeye mtoto au mkewe nachukua jukumu la kuwatibia kugharamia matibabu ..mahitaji mengine ya kifamilia nikienda bush lazima nigawe kwenda kwake na kwangu pia pia nimechukua jukumu la kumsomesha wanae wawili private ada nalipa mimi
Kilichonileta kwenu wadau naomba ushauri ..kwa sasa imekuwa mvuruganao takribani yapata miezi mi4 hatuko sawa natupiwa lawama simjali nimemleta mjini kumnyanyasa ..ametumia nguvu akili na muda kufanya kazi lakini naonekana sijali bidii zake..ni kama sijafanya chochote kwao..kweli ndugu lawama
Wazo zuri ntalifanyia kazi mkuu..nilijitahidi kumpa kiasi kidogo afanye biashara yake binafsi lakini ikatumika nje ya makubaliano kubaliano na alisema haitoshi ..mkuu nilihofia kumpa mtu pesa nyingi kwanza hana idea ya biashara ambayo iko ndani ya uwezo wangu..pia anapenda white color jobs na maisha ya juu na kazi za supervision ndo anapenda kazi za kuchakarika hata hataki nina mtihani mzito..kosa la kwanza kumleta kwenye maisha yako,,, kosa la pili kuumizwa na yanayosemwa.
Usiogope hasara chukua m5 na nauli mrudishe ulikomtoa.
Nimejifunza mkuuumezingua hebu mrudishe kakaako ulikomtoa na mpe pesa zakuazia maisha kijijini kwenu
mambomakubwa kamahayo hatufanyi nandugu
hayajakukuta Mkuu ...nakuombea ukutane na hili langu japo kwa uchache utanielewa ..mwanzo nilikuwa kama wewe ..tena upate ndugu ambae shule kwake ilimpita kusho na umemzidi kipato na elimu na kimaendelea ..tutaongea lugha mojaKesi ya upande mmoja bila kumsikiliza kaka yako sio kwer....
Mtihani mkubwa, nafikiri kwa mtu kama huyu pesa sio msaada wa kudumu. Anatakiwa kuamshwa fikra zake, zikiamka fikra zake hata laki moja ni mtaji tosha kabisa. Hakuna pesa ndogo inategemea na akili na muda.Wazo zuri ntalifanyia kazi mkuu..nilijitahidi kumpa kiasi kidogo afanye biashara yake binafsi lakini ikatumika nje ya makubaliano kubaliano na alisema haitoshi ..mkuu nilihofia kumpa mtu pesa nyingi kwanza hana idea ya biashara ambayo iko ndani ya uwezo wangu..pia anapenda white color jobs na maisha ya juu na kazi za supervision ndo anapenda kazi za kuchakarika hata hataki nina mtihani mzito..
Mungu ana vitabu na mitume na manabii ana wachungaji ana dini za kujitetea kwamba yeye ni mwema kuliko shetan lakini Shetan hana kitabu wala manabii wa mtu wa kumtetea lakini watu wengi wanafuata marengo shetani kuliko ya Mungu.....H
hayajakukuta Mkuu ...nakuombea ukutane na hili langu japo kwa uchache utanielewa ..mwanzo nilikuwa kama wewe ..tena upate ndugu ambae shule kwake ilimpita kusho na umemzidi kipato na elimu na kimaendelea ..tutaongea lugha moja
Ndugu wakigombana shika jembe ukalime.Mimi ni mwanaume wa miaka 39 nimeoa ninawatoto kadhaa ..nje ya ajira pia ni mjasiliamali ,kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na za kiserikali..
Ilinilazimu kumchukua kaka yangu mkubwa kwa ajili ya kusimamia zoezi hilo ili aweze kujikimu yeye na familia yake..nilimuhamisha yeye na familia yake ili waje nilipo.
Tumefanya kazi takribani miaka 3 bila shida ,miradi ipo mingi pesa ipo mambo yanaenda vyema na familia yake inastaawi vyema ..lakini isivyo bahati mambo hayawezi kuwa mteremko kila siku baadhi ya miradi ilisizi kipato kikapungua zile pesa za usimamizi zikawa si nyingi kama zamani niliyumba kwa upande huo
Baada ya muda naanza kuona uzito wa utendaji kazi wake ..hata nikimuagiza kazi hafanyi kwa ukamilifu hayuko commited tena ,mzito ukimuita hafiki kwa wakati ..
Nikaanza yafutayo
1.nilibadili usafiri niliokuwa natumia awali so inawezekana hakupenda au alitaka nimtendee hivyo hivyo kama nilivyojitendea mimi
2.nilianza kuwekeza kwa kununua mali zisizohamishika na kuwekeza kwenye real estate
3.nilianza kuexpend biashara nyingine zaidi
Na yote hayo nilikuwa nikimshirikisha hatua kwa hatua ili asijiskie vibaya kuona namtenga ndugu yangu na kiukweli alikuwa msaada mkubwa kwangu nahisi aliona hafaidiki kwa upande wake..nilijitahidi kumfanyia yafuatayo..
Kumtafutia uwanja japo alinyanyua boma nikamsaidia renta na kupaua ili akae pazuri na familia yake lakini pia
Iwe shida yoyote kwenye familia yake ikitokea auamwe yeye mtoto au mkewe nachukua jukumu la kuwatibia kugharamia matibabu ..mahitaji mengine ya kifamilia nikienda bush lazima nigawe kwenda kwake na kwangu pia pia nimechukua jukumu la kumsomesha wanae wawili private ada nalipa mimi
Kilichonileta kwenu wadau naomba ushauri ..kwa sasa imekuwa mvuruganao takribani yapata miezi mi4 hatuko sawa natupiwa lawama simjali nimemleta mjini kumnyanyasa ..ametumia nguvu akili na muda kufanya kazi lakini naonekana sijali bidii zake..ni kama sijafanya chochote kwao..kweli ndugu lawama
Kwa nini milioni 5?kosa la kwanza kumleta kwenye maisha yako,,, kosa la pili kuumizwa na yanayosemwa.
Usiogope hasara chukua m5 na nauli mrudishe ulikomtoa.
Hakika.Kesi ya upande mmoja bila kumsikiliza kaka yako sio kwer....