mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.