Wadau napoteza imani sana na imani ya kanisa langu

Wadau napoteza imani sana na imani ya kanisa langu

Mimi huwa simshauri mtu kuhama Kanisa wala dini ahame ahamie wapi wakati alipo alikuwa anaamini na mpaka sasa ana imani ndipo patamfikisha kwa Mungu wake?

Aende Kanisani kusali kwa ajili ya nafsi yake mengine ni kutafuta namna ya kufikisha maoni kwa viongozi wa Kanisa lake ili wachungaji au wainjilisti au mapadre wowote wawao wafundishe mafundisho sahihi ya kumuokoa mwanadamu,sijajua anakoabudu sheria zao zikoje but kama ishu ni mtu kutoa sadaka hakuna muumini anaamshwa akatoe kama hana ukifika muda wa sadaka ajikalie a-stick na lengo lake kwamba Kanisani ameenda kumuabudu Mungu wake.
Narudia tena, Hama kanisa
Hakuna mtu mwenye hati miliki na Mungu.
Mungu hajafungiwa ndani ya hilo kanisa
 
Usiache kwenda kuabudu bana badilisha kanisa, maybe linaloonekana stable financially
 
Back
Top Bottom