Mbeleni wala usipate shida kujua yatakayotokea.Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.
Mimi huwa simshauri mtu kuhama Kanisa wala dini ahame ahamie wapi wakati alipo alikuwa anaamini na mpaka sasa ana imani ndipo patamfikisha kwa Mungu wake?Hama kanisa.
Hakuna mtu au dhehebu lenye hati miliki na Mungu.
Baki na Mungu wako huyo usimwacheKiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.
Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.
Michango muhimu Kwangu ni zaka,mavuno na sadaka.Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.
Mimi nimeingia dini ya kijadi sala tatu zinajibu kila kitu na hakuna wa kunitoa hukoKiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .
Sababu inayonifanya kupuuzia kanisani ni Aina ya mafundisho yanayofundishwa.. throughout mwinjilisti au mchungaji ni kugusia mambo ya pesa mwanzo mwisho.. ni toa ndugu toa ndugu...
Yale mahubiri halisi yanayomsaidia muumini kuimarisha imani yake kwa kristo... Since 2023 sijawahi kanyaga tena kanisa... kwa sasa maombi ya kumuomba Mungu ninayofanya kivyangu ninasali sentensi moja na azizidi tatu imeisha hiyo... sala ya baba yetu ni kama imenitoka . Sijui itakuwaje huko mbeleni.
Hizi dini za kuletewa hazina maana kwetu Waafrika, ukiona hivyo basi juwa kuwa hawana jipya na wameishiwa mahubiri ya kila wiki.Kiukweli muda unavyoenda na mimi napoteza imani sana kwenda kanisani kama ilivyo desturi kumuomba Mungu .