Wadau napoteza imani sana na imani ya kanisa langu

Narudia tena, Hama kanisa
Hakuna mtu mwenye hati miliki na Mungu.
Mungu hajafungiwa ndani ya hilo kanisa
 
Usiache kwenda kuabudu bana badilisha kanisa, maybe linaloonekana stable financially
 
Shetani yu kazini, anawafukuza mdgmdg kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…