Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

Frozen flowers

Usiangalie na watoto au watu unao heshimiana nao
 
Ttobolk,Chang-yun huyu mtaalamu ni yule wa Swordman na A girl who deserves to Die ..🔥🔥
 
Hii nmeona trela lake tu dadeki ni moto wa kuotea mbali nastop hii Tree with Deep Roots kwanza ,naanza na Arthdal Chronicles
Kwangu mimi ndiyo the Best kwa Korean Movie, Kuna Watu wanaitwa Igutu, wana Damu ya Purple, ni Mchanganyiko wa Binadamu wa Kawaida na Watu ambao kwenye Historia ya Korea inasemwa waliishi Zamani!

Binadamu wa kawaida wanataka Kuteketeza Kizazi chote cha Waigutu, na wale Wale purple blood halisi ambao wamebaki wachache, Wana nguvu, za mwili, nguvu za roho pia!

Taifa zima linapigana kuteketeza hicho kizazi cha watu wenye Rangi za Blue, kile ambacho hawajui, Mtoto wa kuasili wa Mfalme wa nchi, ambaye ni Kamanda mkuu wa Majeshi, ambaye baadaye anakuja kuwa mtawala wa nchi, kumbe na yeye ana Damu ya purple ya Kiigutu, ikifikia hapo ndo Series inakua moto..
 
Mission possible ya wakorea mmeiona ni single movie Haya muitafute muangalia nashindwa kuandika hapo
 
Kwangu mimi ndiyo the Best kwa Korean Movie, Kuna Watu wanaitwa Igutu, wana Damu ya Purple, ni Mchanganyiko wa Binadamu wa Kawaida na Watu ambao kwenye Historia ya Korea inasemwa waliishi Zamani!

Binadamu wa kawaida wanataka Kuteketeza Kizazi chote cha Waigutu, na wale Wale purple blood halisi ambao wamebaki wachache, Wana nguvu, za mwili, nguvu za roho pia!

Taifa zima linapigana kuteketeza hicho kizazi cha watu wenye Rangi za Blue, kile ambacho hawajui, Mtoto wa kuasili wa Mfalme wa nchi, ambaye ni Kamanda mkuu wa Majeshi, ambaye baadaye anakuja kuwa mtawala wa nchi, kumbe na yeye ana Damu ya purple ya Kiigutu, ikifikia hapo ndo Series inakua moto..
IRIS itaugharimu ulimwengu millennium kuvunja rekodi yake kwa ubora, mauzo na kutochuja kwa muda mrefu zaidi.

Plan Masters waliigiza hiyo tamthilia kwa zaidi ya miaka 8 kwenye nchi tofauti na kwa utulivu mkubwa sana.
 
Yeah, naikubari pia Iris...
 
Kasome series moja inaitwa understated dorminance.

Kuna mwamba wa kuitwa Dustin Rhys huyo hapigiki risasi wa mabomu...

Ni hatari na nusu..
 
Back
Top Bottom