Wadau nataka nitie laki 9

Wadau nataka nitie laki 9

Sawa wewe ndio unaweza kustake ila njaa mbaya sana unamchukia mtu ambaye humjui endelea kutafuta ajira mzee haya hiyo nimescreeshot Sasa hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee unastake laki 7 na ishirini na tano then unakula 738k yahn unafukuzia 13k aseee kamali yako ngumu sana....

Badilisha mbinu kaka hiyo mbinu unakula pesa ndogo ukija kupigwa utapigwa parefu sana.........huwezi kula mara 10mfululizo lazima utapigwa tu.

Kwa uzoefu wangu odds vidagaa ndio zinaongoza kwa kuchana.

All the best mtafutaji
 
Hiyo ndio mbinu yangu mzee kama unaona kwako haifai kwangu inafaa sana tena sana na ndio inayonipa pesa Mimi naangalia performance ya timu sio ukubwa wa odds Wala udogo wa odds ilimradi faida imeingia Kwa dakika 90
 
Nakuelewa sana na hiyo mbinu ya kucheze na odds vidagaa binafs nilishaifanya sana nilikuwa nastake laki odds 1.2 nakula 120k hiyo mwaka 2019/2020....easy navizia live dakika za mwisho naruka under .....lakini ilikuwa unakula mikek hata 10 ya hapa na pale lakini ukipigwa moja unaanza upyaaa .....which hapo unakuwa umepoteza muda so binfsi ikanishinda ila kaka wewe inakulipa sana mtaalamu basi kila la kheri.

Note:
Odds vidagaa ni hatari kwa afya.
 
Hiyo tofauti na yangu Mimi siwezi kubet mechi dakika ya 80 hata siku Moja game ikiwa live mpaka huo mda asilimia ya kuliwa ni kubwa kuliko kula hivyo hiyo ni tofauti na Mimi mzee Mimi Nina timu zangu sikurupuki mfano arsenal siwezi nikambetia hata ashinde vipi sababu namjua vizuri tu kingine timu zangu zote zikiwa ugenini sizigusi na sibeti Kila siku nadhani hata huo mkeka umeuona ulivyo betting sio ya tamaa ukishaweka tamaa una asilimia kubwa ya kupoteza
 
Khumamakeee pesa yako italiwa na mhindi kizembe 😃😃😃😃
 
Weka mkuu usijivunge, kwa kuongeza kuna fainali ya DFB Pokal ujerumani pale kampe leverkusen, tia mpunga, kama huna mashaka kuna vioddsvya uhakika hapa kati weka chukua mpunga.
Rungu la kipepe
 
Kanjibah hana huruma jaman...yaan nimepigwa kwenye kindege mpaka nikiwaona kuku nawachukia...
 
Mtandike makofi mama Yako ambaye alipanua mbunye bar kwa masela akapigwa mtungo ukazaliwa masikini kama wewe yaani wewe ni bonge la fara unapangia pesa ya mwanaume jinsi ya kustake kweli nimeamini wewe unanjaa sana mpaka unaonea wivu pesa yangu mzee tafuta pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is not good for gentleman
 
Hiyo tofauti na yangu Mimi siwezi kubet mechi dakika ya 80 hata siku Moja game ikiwa live mpaka huo mda asilimia ya kuliwa ni kubwa kuliko kula hivyo hiyo ni tofauti na Mimi mzee Mimi Nina timu zangu sikurupuki mfano arsenal siwezi nikambetia hata ashinde vipi sababu namjua vizuri tu kingine timu zangu zote zikiwa ugenini sizigusi na sibeti Kila siku nadhani hata huo mkeka umeuona ulivyo betting sio ya tamaa ukishaweka tamaa una asilimia kubwa ya kupoteza
binafsi nimekubali namna ya huyu jamaa ya kubeti

sijui anaweka double chance au vipi ila ni miongoni mwa approach nzuri,
 
Wakamaria ni wakali kinoma. Dah!! 😂😂😂
Hizi siku mtandao ulipopata shida kuna mmoja alikuwa anaporomosha tu matusi
 
Back
Top Bottom