Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Usimpe hongera kwanza hadi hapo Zawadi Ngoda atakapokuja humu kuthibitisha, vinginevyo unaweza kujikuta unajiingiza kwenye mgogoro usiokuhusu. Ina maana wewe hujui mabandiko ya Abdulhalim?heheee! Hongera Mkuu
teh teh teh teh...Natumaini unatangaza ndoa na sio ndowa...
heheee! Hongera Mkuu , Karibu saaana hii kambi ingine😎 Kumbe ulikuwa bado!
Usimpe hongera kwanza hadi hapo Zawadi Ngoda atakapokuja humu kuthibitisha, vinginevyo unaweza kujikuta unajiingiza kwenye mgogoro usiokuhusu. Ina maana wewe hujui mabandiko ya Abdulhalim?
Hapana sina nia mbaya, ila umeahidi hapo awali kwamba atakuja kueleza zaidi na ndo maana nikawa natoa tahadhari ili watu wasije kuanza kumimina hongera halafu mwenyewe akaja kukanusha.Jibaba vp tena mbona unataka kuharibu mood?
... Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.
Wow
hebu nipe wasifu wake huyo shemeji yetu mtarajiwa.
ila angalia bibie ni m-bara huyo usimtafune kizenji ohooo
Mzungu wa Dubai umeacha heart broken