Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kama kichwa cha khabari kinavyojieleza, hii ndio khali khalisi.
Baada ya kuzunguka majiani bara na visiwani, hatimaye nimefikia kikomo, yaani Kigoma mwisho wa reli. Nimefanikiwa kupata kipusa kutoka humuhumu JF. Kwa taarifa zaidi msinitie midole machoni, bibie Zawadi Kingwendu Ngoda ndiye mtarajiwa. Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.
Wabillah tawfeeq