Wadau natangaza NDOWA..

Wadau natangaza NDOWA..

Abdulhalim

Platinum Member
Joined
Jul 20, 2007
Posts
17,215
Reaction score
3,076
Kama kichwa cha khabari kinavyojieleza, hii ndio khali khalisi.

Baada ya kuzunguka majiani bara na visiwani, hatimaye nimefikia kikomo, yaani Kigoma mwisho wa reli. Nimefanikiwa kupata kipusa kutoka humuhumu JF. Kwa taarifa zaidi msinitie midole machoni, bibie Zawadi Kingwendu Ngoda ndiye mtarajiwa. Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.

Wabillah tawfeeq
 
heheee! Hongera Mkuu , Karibu saaana hii kambi ingine😎 Kumbe ulikuwa bado!
 
heheee! Hongera Mkuu
Usimpe hongera kwanza hadi hapo Zawadi Ngoda atakapokuja humu kuthibitisha, vinginevyo unaweza kujikuta unajiingiza kwenye mgogoro usiokuhusu. Ina maana wewe hujui mabandiko ya Abdulhalim?
 
heheee! Hongera Mkuu , Karibu saaana hii kambi ingine😎 Kumbe ulikuwa bado!

Shukran ustaadh..

Namchukua jumla huyu binti Ngoda na kum-transform kuwa wifey material..

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Uuc7FuNvCYw"]http://www.youtube.com/watch?v=Uuc7FuNvCYw[/ame]
 
Usimpe hongera kwanza hadi hapo Zawadi Ngoda atakapokuja humu kuthibitisha, vinginevyo unaweza kujikuta unajiingiza kwenye mgogoro usiokuhusu. Ina maana wewe hujui mabandiko ya Abdulhalim?

Jibaba vp tena mbona unataka kuharibu mood?
 
Jibaba vp tena mbona unataka kuharibu mood?
Hapana sina nia mbaya, ila umeahidi hapo awali kwamba atakuja kueleza zaidi na ndo maana nikawa natoa tahadhari ili watu wasije kuanza kumimina hongera halafu mwenyewe akaja kukanusha.
... Naona aje humu kuwaelezea mipango ya harusi inaendeleaje na atawa-update zaidi.
 
Naona MOD Mbu ananigongea 'thanks' nami sina khiyana naipokea. Jamani mtarajiwa upo wapi?
 
Yakhe ukimtaja mtarajiwa shurti ujitaje na weye ati.
 
Wow
hebu nipe wasifu wake huyo shemeji yetu mtarajiwa.
ila angalia bibie ni m-bara huyo usimtafune kizenji ohooo
 
Wow
hebu nipe wasifu wake huyo shemeji yetu mtarajiwa.
ila angalia bibie ni m-bara huyo usimtafune kizenji ohooo

ati?

wasifu kwani wewe ndiye muoaji?

point noted.
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
teh teh teh, it only hurts when i laugh @ it.
 
Nadhani mtarajiwa ana "self introducing fever" lakini haikawii kupona.
 
Back
Top Bottom