seminarian
Member
- Jun 8, 2024
- 24
- 26
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi bombaShort course ipi nzuri kupata ugali kitaa
Unasoma chuo gani?Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Sasa itakuwaje si uongee na PSPR waachie PDF double double huku watu wanakula msoto balaaWadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Kuna Mwamba alienda chuo mwaka jana akiwa na 1 mbilingambilinga za chuo semester ya kwanza hakumaliza kaacha chuo kuulizwa nini shida anasema kozi haielewi anataka akasomee uchungaji mbele anaona gizanene sana haoni future, mwingine mwaka juzi kachaguliwa UDSM pale alisoma Mwaka wa kwanza tu aliporudi home hakurudi tena chuo kuulizwa jibu lake na yeye kozi anayosoma haoni future anataka afanye biashara kafunguliwa duka sasa hivi kawa mangi anatuuzia viberitiUnasoma chuo gani?
Waambie PSPR waachie PDF za kutosha vijana hawaelewi huku mtaani wanaona gizagiza tupuCourse za sayansi ni course nzuri sema Tanzania sababu ya ukosefu wa viwanda ajira zinakua so limited lakini ni course nzuri sana.
Kwa Tanzania kwa sasa hakuna fani unasoma una uhakika na maisha yako ya baadae,, mbaya zaidi elimu yetu haitusaidii kutafta fursa nje ya nchi huko hata kama zipo. Tanzania maisha ni ya kubahatisha sana.
Ushauri wangu, soma ila anza kujichanganya uvcc, anza kua mwanaharakati wa uvcc, anza kua chawa ili ukimaliza usikose cha kufanya na ukizingatia tunaenda kwenye uchaguzi.
Waambie PSPR waachie PDF huku mtaani vijana hawaelewi wanaona gizagiza tupu, sasa hawa wapo chuo hawaoni future hawa walio mtaani vipi si future participle tense au future present pastUtafundisha ualimu
Acha kabisa chuma kimegoma kabisa kuwakaMdogo wangu hakufanya viziri sana form 4 akawa anataka aende sijui procurement nk
Nikampa darasa aendenVETA kama hataki kua mzigo
Elimu ya makaratasi kwasasa haina msaada ukiwa na fan hutumii nguvu kibwaAcha kabisa chuma kimegoma kabisa kuwaka
KubetiShort course ipi nzuri kupata ugali kitaa
Kama mbunge anamshukuru Rais kwa kitu cha wajibu hadi kugalagala chini unadhani hao wananchi wake wakoje?Hivi kweli sie kama nchi are we serious watu wa mathematics chemistry physics wanakosaje kazi wakati miaka nenda rudi tunaonanjinsi palestina wana nyanyaswa na myahudi kisa science and technology.
Tz hamna institutes of advanced studies watu washushe matheories na namba ?
Tena hawa watu walitakiwa wakipata kazi nyumba gari wanapewa
Jamaa anakosa dira sababu mbele hana mtu wa kumpigia pandeHivi kweli sie kama nchi are we serious watu wa mathematics chemistry physics wanakosaje kazi wakati miaka nenda rudi tunaonanjinsi palestina wana nyanyaswa na myahudi kisa science and technology.
Tz hamna institutes of advanced studies watu washushe matheories na namba ?
Tena hawa watu walitakiwa wakipata kazi nyumba gari wanapewa