Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

Wewe umejuaje haina future?? ,unajuaje kama ukimaliza huta pata ajira au business inayoendana na career yako?
 
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Yaani vyote unavyosoma huko hujaona application yake? Au wafikiria kuajiriwa tu?
 
Watu wanaomaliza shahada ya kwanza katika Chemistry wanaweza kupata ajira katika maeneo mbalimbali, kulingana na ujuzi. Hapa ni baadhi ya maeneo ambayo wahitimu wa Chemistry wanaweza kuajiriwa:

1. Sekta ya Viwanda: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kufanya kazi katika viwanda vya kemikali, dawa, vipodozi, plastiki, chakula, mbolea, na mafuta. Wanahitajika katika uzalishaji, utafiti na maendeleo (R&D), udhibiti wa ubora (quality control), na usalama wa mazingira.

2. Viwanda vya Dawa: Katika sekta ya dawa, wahitimu wanaweza kufanya kazi kama watafiti wa kemikali, wabunifu wa dawa mpya, au katika maabara ya udhibiti wa ubora wa dawa zinazozalishwa.

3. Mashirika ya Mazingira: Wahitimu wanaweza kufanya kazi na mashirika yanayohusika na uhifadhi wa mazingira, ukaguzi wa mazingira (environmental audit), na usimamizi wa taka za kemikali.

4. Taasisi za Serikali: Serikali inatoa ajira kwa wahitimu wa Chemistry katika taasisi kama vile maabara za kitaifa, shirika la viwango (kwa mfano TBS), Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), na ofisi za mazingira.

5. Maabara za Utafiti: Wahitimu wanaweza kupata nafasi katika maabara zinazofanya utafiti wa kisayansi, zikiwa za kibinafsi au taasisi za umma.

6. Sekta ya Elimu: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kufundisha katika shule za sekondari au vyuo vikuu kama walimu wa sayansi au wahadhiri baada ya kupata mafunzo zaidi ya ualimu au masomo ya juu.

7. Sekta ya Uchimbaji Madini: Wanahitajika kwenye uchunguzi na usimamizi wa kemikali kwenye shughuli za uchimbaji madini, hasa katika utafiti wa madini na udhibiti wa ubora wa bidhaa zinazotokana na madini.

8. Kampuni za Vinywaji na Chakula: Wahitimu wanaweza kufanya kazi kwenye viwanda vya vinywaji na chakula kwa lengo la kudhibiti ubora wa bidhaa na kuhakikisha zinakidhi viwango vya afya na usalama.

9. Sekta ya Kilimo: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kuchangia katika kuboresha mbolea na dawa za mimea na kufanya kazi kwenye maabara zinazofanya utafiti wa kilimo.

Ajira hizi zinaweza kutofautiana kulingana na ujuzi maalum wa mhitimu, mafunzo ya ziada aliyoyapata, na sekta husika.
 
Hivi kweli sie kama nchi are we serious watu wa mathematics chemistry physics wanakosaje kazi wakati miaka nenda rudi tunaonanjinsi palestina wana nyanyaswa na myahudi kisa science and technology.
Tz hamna institutes of advanced studies watu washushe matheories na namba ?
Tena hawa watu walitakiwa wakipata kazi nyumba gari wanapewa
Mahabara zenyewe zakujifunzia zina Base na Acid tu unategemea nn kwa waitimu wake kama sio kwenda kwenye viwanda vya chunvi.
 
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Future ipo usikate tamaa.Viwanda vyote hivi nchi nzima chemist ana nafasi yake kubwa mno.Pia nawe unaweza kujiajiri kwa kutengeneza kemikali za kibiashara.
 
Tatizo cio sehemu za kufanya ni kwamba hata hizo sehemu kumeshajaa chuo kinatoa product km 200 per yer afu tuko udsm ,udom,must na mwecau ko nafaasi moj utaon watu miatatu afu nafasi zenyew hazitangazwi mpk connection juz mkemia maabar wanaajir nafasi sita tu wahitimu wako. Maelfu,kwa wahindi na wabongo mshahara mdogo san viwandani kuliko kaz
Watu wanaomaliza shahada ya kwanza katika Chemistry wanaweza kupata ajira katika maeneo mbalimbali, kulingana na ujuzi. Hapa ni baadhi ya maeneo ambayo wahitimu wa Chemistry wanaweza kuajiriwa:

1. Sekta ya Viwanda: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kufanya kazi katika viwanda vya kemikali, dawa, vipodozi, plastiki, chakula, mbolea, na mafuta. Wanahitajika katika uzalishaji, utafiti na maendeleo (R&D), udhibiti wa ubora (quality control), na usalama wa mazingira.

2. Viwanda vya Dawa: Katika sekta ya dawa, wahitimu wanaweza kufanya kazi kama watafiti wa kemikali, wabunifu wa dawa mpya, au katika maabara ya udhibiti wa ubora wa dawa zinazozalishwa.

3. Mashirika ya Mazingira: Wahitimu wanaweza kufanya kazi na mashirika yanayohusika na uhifadhi wa mazingira, ukaguzi wa mazingira (environmental audit), na usimamizi wa taka za kemikali.

4. Taasisi za Serikali: Serikali inatoa ajira kwa wahitimu wa Chemistry katika taasisi kama vile maabara za kitaifa, shirika la viwango (kwa mfano TBS), Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), na ofisi za mazingira.

5. Maabara za Utafiti: Wahitimu wanaweza kupata nafasi katika maabara zinazofanya utafiti wa kisayansi, zikiwa za kibinafsi au taasisi za umma.

6. Sekta ya Elimu: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kufundisha katika shule za sekondari au vyuo vikuu kama walimu wa sayansi au wahadhiri baada ya kupata mafunzo zaidi ya ualimu au masomo ya juu.

7. Sekta ya Uchimbaji Madini: Wanahitajika kwenye uchunguzi na usimamizi wa kemikali kwenye shughuli za uchimbaji madini, hasa katika utafiti wa madini na udhibiti wa ubora wa bidhaa zinazotokana na madini.

8. Kampuni za Vinywaji na Chakula: Wahitimu wanaweza kufanya kazi kwenye viwanda vya vinywaji na chakula kwa lengo la kudhibiti ubora wa bidhaa na kuhakikisha zinakidhi viwango vya afya na usalama.

9. Sekta ya Kilimo: Wahitimu wa Chemistry wanaweza kuchangia katika kuboresha mbolea na dawa za mimea na kufanya kazi kwenye maabara zinazofanya utafiti wa kilimo.

Ajira hizi zinaweza kutofautiana kulingana na ujuzi maalum wa mhitimu, mafunzo ya ziada aliyoyapata, na sekta husika
 
Tatizo cio sehemu za kufanya ni kwamba hata hizo sehemu kumeshajaa chuo kinatoa product km 200 per yer afu tuko udsm ,udom,must na mwecau ko nafaasi moj utaon watu miatatu afu nafasi zenyew hazitangazwi mpk connection juz mkemia maabar wanaajir nafasi sita tu wahitimu wako. Maelfu,kwa wahindi na wabongo mshahara mdogo san viwandani kuliko kaz

Ukimaliza chuo soma short course .

Then fikiria kuhusu kuanzisha kiwanda kidogo cha vileo waweza kuandika business proposal .

NB Usitoke nje ya imani yako kisa PESA.
 
Mkuu njoo SUA tukomae na BACHELOR VETERINARY MEDICINE/bvm/ TUKIFANIKIWA kumaliza chuo TUANZISHE SHAMBA KUBWA LA UFUGAJI WA NGURUWE hapa mjin tutaish vizuri ila bachelor ya chemistry n uchawi utaitwa interview nying hollaaaa
 
Kuna ndugu yangu aliingia hii course nikamshangaa sana.

Kabla ya kuchagua kozi...

Jiulize, ukikosa kazi nafasi za kujiajiri zipo
 
Hivi kweli sie kama nchi are we serious watu wa mathematics chemistry physics wanakosaje kazi wakati miaka nenda rudi tunaonanjinsi palestina wana nyanyaswa na myahudi kisa science and technology.
Tz hamna institutes of advanced studies watu washushe matheories na namba ?
Tena hawa watu walitakiwa wakipata kazi nyumba gari wanapewa
Una hojaa usikilizwe!!
 
Kama mbunge anamshukuru Rais kwa kitu cha wajibu hadi kugalagala chini unadhani hao wananchi wake wakoje?
Tena ni waziri wa wizara nyeti, Mbunge wangu kaonesha namna ubongo wake ukojee. Doooh
Nilionaa aibu mie.
 
Mkuu njoo SUA tukomae na BACHELOR VETERINARY MEDICINE/bvm/ TUKIFANIKIWA kumaliza chuo TUANZISHE SHAMBA KUBWA LA UFUGAJI WA NGURUWE hapa mjin tutaish vizuri ila bachelor ya chemistry n uchawi utaitwa interview nying hollaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilitakiwa kabla hujafanya selection ya program unayotaka kusoma uangalie destiny usiende tu kama unaenda kuridhisha watu wengine wakuone unasoma nenda kwaajili ya manufaa yako
 
Back
Top Bottom