Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Sayansi zenyewe hapa bongo zipo shallow sana na too theoretical.Hivi kweli sie kama nchi are we serious watu wa mathematics chemistry physics wanakosaje kazi wakati miaka nenda rudi tunaonanjinsi palestina wana nyanyaswa na myahudi kisa science and technology.
Tz hamna institutes of advanced studies watu washushe matheories na namba ?
Tena hawa watu walitakiwa wakipata kazi nyumba gari wanapewa
Huyo anayesoma chemistry, kwa muda huu alitakiwa awe anafikiria Chemistry of explosives, weapons of mass destruction, Chemistry of natural products.
Alitakiwa awe anafikiria hata kutengeneza sumu ya ku-eliminate enemies, thieves etc.
Akiwa na maujuzi yote hayo atakosaje kazi? Si Hata Hezibollah, alqaeda au hata Israel watampa ajira?
Sasa bahati mbaya vijana wetu wapenda madesa wanaenda chuo kukua tu, elimu yetu ni shallow. Serikali inajisifia wingi wa wanafunzi vyuoni, bila kujali ubora wa elimu. Muda mwingine unawaza bora kijana angesomea ufundi magari tu akaajiriwe gereji au afungue car-wash