Bank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maanaBank hawezi ibaa ilaa pesa uliyonayo wewe ndo chuma ulete inabeba mkuu.. Usiwe mbishi kabisaa na weni chuma ulete huwa Wanakuja na style ya Kuomba chenjii..
Nasubiri story io naona shv wachawi wameamka… . sahv nikutafuta pesaBank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
mkuu kama hayajakukuta haya mambo huwezi elewa!!tuachie sisi wahanga wa haya mambo tupeane ushauri!!daaaa hakuna mtu aliyekuwa mbishi kama mimi ila yaliyonikuta sitasahau maishani!ili bidi nimtoe mfanyakazi ili niuze mimi nione na kila pesa niliyokuwa naipokea nilikuwa naitandaza sakafuni na kuifunika na kokoto ili isipeperuke nione zinapoteaje,baada ya kufunga biashara nikaanza kuzikusanya karibu chumba kizima nilikuwa nimezitaawanya!!my God nakuta 90,000!!hakuna
Lete uzi uo BrowBank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
bwana kuna jamaa alinunganisha na babu mmoja nadhani alitoka DRC,alikuja kwa ajiri ya kazi za wakubwa hapa dar,ndio akaja kama kunisaidia tu ,babaab mambo niliyoyaona yakitolewa hape kwenye eneo la biashara yalifukuliwa machupa yana shanga mala vitambaa vyekundu hadi yana fuka moshi!!tangu siku hiyo ckuwahi kupoteza hata shilingi na biashara ika stawi balaa!!hadi nilipo kuja kuhama mwenyewe baada ya kuhamisha makazi!!haya mambo yapo kabisa,awaulize wauza mabucha wanavyolia kila siku,yaani unauza nyama inapokaribia kuisha wewe roho ina dundaaa badala ya kufurahi biashara nzuri wew una ogopa hata kuhesabu pesa yako!!!Pole ndugu ,uli sovu vp tatzo lako
baada ya kupoteza hizo 90,000 ikabidi nikubali kuwa kuna tatizo,ktk kuongea na watu ndio nikampata rafiki yangu mmoja,akanimbia kuna mzee mmoja toka DRC,ameletwa n bosi wangu kumfanyia kazi yake,nitwjaribu kumchomekea tuone!!kweli ikatiki akaj naye daaababa,ni vitu vya ajabu sana vilitolewa kwenye sakafu ndani ya eneo la biashara,chupa zimefungwa shanga,zina vitambaa vyekundu!!hadi vinafuka moshi!!toka siku ile sikuwahi kupoteza hata senti tano!!hayo mambo yapo kabisa.Bahati mbaya hata mawasiliano ya jamaa siku hizi sina tena nasikia alikwenda ROMANIA!!Je nini kilifuata. Baada ya hilo jaribio?
Unatoaga fungu la kumi????Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu
Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi
Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara)
Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile money) ila sikuwa naamini kuhusu chuma ulete ila kwa sasa huku kunifanya niamin kwakuwa kila baada ya 1 au wiki nakutana na upotevu wa ela nyingi hadi biashara inashuka kabisa
Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete kamisheni ni nzuri ila mtaji unakufa kwahiyo ni kazi bure ....
Dawa yake ipoChuma ilete ipo wakuu, ila sijui dawa yake ni nini
Dawa yake ipo
Kutolea tu fungu la kumi mchezo umeisha hapotujuze
Kutolea tu fungu la kumi mchezo umeisha hapo