Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

Bank hawezi ibaa ilaa pesa uliyonayo wewe ndo chuma ulete inabeba mkuu.. Usiwe mbishi kabisaa na weni chuma ulete huwa Wanakuja na style ya Kuomba chenjii..
Bank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
 
Bank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
Nasubiri story io naona shv wachawi wameamka… . sahv nikutafuta pesa
 
Je nini kilifuata. Baada ya hilo jaribio?
mkuu kama hayajakukuta haya mambo huwezi elewa!!tuachie sisi wahanga wa haya mambo tupeane ushauri!!daaaa hakuna mtu aliyekuwa mbishi kama mimi ila yaliyonikuta sitasahau maishani!ili bidi nimtoe mfanyakazi ili niuze mimi nione na kila pesa niliyokuwa naipokea nilikuwa naitandaza sakafuni na kuifunika na kokoto ili isipeperuke nione zinapoteaje,baada ya kufunga biashara nikaanza kuzikusanya karibu chumba kizima nilikuwa nimezitaawanya!!my God nakuta 90,000!!hakuna
 
Bank wanaziiba mzee baba,kuna mchawi alitoa siri hiyo,jinsi wanavyoziibia bank,na wanasema kuna bank zinaweka matambiko wasiibiwe baadhi kama crdb huwa wanapata ugumu kuiba ila bank nyingine wanaziibia, ngoja nitaelezea story ilivyo ni story ndefu kidogo hawa wachawi hawana maana
Lete uzi uo Brow
 
Mi nishawahi kumpiga mtu kwa style hio hio ya chuma ulete ya kidijitali, ni mhasibu alikuwa na mwanya wa kupiga hela ya kampuni deile hakosi elfu 50-70 ila alikuwa mbinafsi sana akawa anaweka hela yote kwenye kibubu ghetto nikawa nazikwala kidizaini flani! Kuja kufungua kibubu anakuta ana laki na 60 alishika kichwa maana hakioneshi dalili kuwa kilivunjwa ama alama yoyote ya mashaka!

Nilikuwa nazitumbua aisee, kila nikitoka nachota elfu 15-20 kwa matumizi ya siku tu! Kuuliza nikasingizia huenda ni chuma ulete maana binadamu wabaya ha ha ha ha mungu anisamehe tu ila nilikuwa na hali mbaya, inatokea unakosa hela kabisa halafu mwenzio anajitanua tu ana mihela ila ukiomba unaambiwa sina tena kwa kiburi!

Hivyo mtoa mada angalia kwanza nani ana access na kufikia unapoweka hizo hela kabla hujawazia chuma ulete, chuma ulete wengine mnaishi nao!
 
Pole ndugu ,uli sovu vp tatzo lako
bwana kuna jamaa alinunganisha na babu mmoja nadhani alitoka DRC,alikuja kwa ajiri ya kazi za wakubwa hapa dar,ndio akaja kama kunisaidia tu ,babaab mambo niliyoyaona yakitolewa hape kwenye eneo la biashara yalifukuliwa machupa yana shanga mala vitambaa vyekundu hadi yana fuka moshi!!tangu siku hiyo ckuwahi kupoteza hata shilingi na biashara ika stawi balaa!!hadi nilipo kuja kuhama mwenyewe baada ya kuhamisha makazi!!haya mambo yapo kabisa,awaulize wauza mabucha wanavyolia kila siku,yaani unauza nyama inapokaribia kuisha wewe roho ina dundaaa badala ya kufurahi biashara nzuri wew una ogopa hata kuhesabu pesa yako!!!
 
Je nini kilifuata. Baada ya hilo jaribio?
baada ya kupoteza hizo 90,000 ikabidi nikubali kuwa kuna tatizo,ktk kuongea na watu ndio nikampata rafiki yangu mmoja,akanimbia kuna mzee mmoja toka DRC,ameletwa n bosi wangu kumfanyia kazi yake,nitwjaribu kumchomekea tuone!!kweli ikatiki akaj naye daaababa,ni vitu vya ajabu sana vilitolewa kwenye sakafu ndani ya eneo la biashara,chupa zimefungwa shanga,zina vitambaa vyekundu!!hadi vinafuka moshi!!toka siku ile sikuwahi kupoteza hata senti tano!!hayo mambo yapo kabisa.Bahati mbaya hata mawasiliano ya jamaa siku hizi sina tena nasikia alikwenda ROMANIA!!
 
chukua bange ya arusha changanya Na ya mbeya piga kutwa mara tatu hawezi kukukaribia chuma ulete
 
Jiunge na Internet banking na simu banking ukiuza hata buku rusha kwenye simu fasta forward bank kisha usikilizie kama watazifata bank
 
tumia mkaa kipande kidogo tu kichanganye na fedha au ndulele au ganda la chungwa vyote hiv changanya na hela au kama mtu humuamini au unamhic ni chuma ulete fedha yake ichane kidgo au uitenge pembeni hakikisha hayo yote yanakuwa siri yako ukiwaambiahao watu wanakutengenezea chuma ulete yenye nguvu zaidi
 
Naandika haya kutokana na yanayojiri katika biashara zangu

Niliwahi kufanya biashara Kimara na nilipata maendeleo mazuri kibiashara ila nilihama kwakuwa ndio home boi

Sasa baada ya kuhama nimekuja huku Kusina mwa Tanzania (Mtwara)
Kwa sasa niko na miezi na 8 katika biashara yangu (mobile money) ila sikuwa naamini kuhusu chuma ulete ila kwa sasa huku kunifanya niamin kwakuwa kila baada ya 1 au wiki nakutana na upotevu wa ela nyingi hadi biashara inashuka kabisa

Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete kamisheni ni nzuri ila mtaji unakufa kwahiyo ni kazi bure ....
Unatoaga fungu la kumi????
 
Back
Top Bottom