Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age.
Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma) aliamini kabisa mwisho wa siku atamuoa huyo "daktari" wa Kingoni (picha itawajia punde) lakini huyo bibie alimgeuka huyo kaka wa kichaga mbele yake na kwenda kufanya ngono na huyo "bombi nyumbi" mchana kweupee na kumsahau yule bwanake.
Hoja aliyodai "daktari" ni kwamba huko Songea wanatoka vijiji majirani. Je, kweli kabila hili wakikutana mjini lazima wangonoane? Na kama ni hivyo nini mustakabali wa makabila tofauti waliooa Ungonini? Huyu jamaa yangu afanye uamuzi gani? Mbona kama ni kabila la kuogopa kimaadili?
Wajuzi tupeni ujuzi kuhusu kabila hili ambala huko nyuma lilikuwa na heshima kubwa hapa nchini na tabia hiyo walipewa kabila fulani kutoka kanda ya ziwa. Kwa nini leo Wangoni wabebe sifa hii ya umalaya hata kwa wasomi tena kwa taaluma nyeti?
Tujadili kwa ushahidi wanajamvi!