Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya Jamii Forum. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age.
Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma) aliamini kabisa mwisho wa siku atamuoa huyo "daktari" wa Kingoni (picha itawajia punde) lakini huyo bibie alimgeuka huyo kaka wa kichaga mbele yake na kwenda kufanya ngono na huyo "bombi nyumbi" mchana kweupee na kumsahau yule bwanake.
Hoja aliyodai "daktari" ni kwamba huko Songea wanatoka vijiji majirani. Je, kweli kabila hili wakikutana mjini lazima wangonoane? Na kama ni hivyo nini mustakwbali wa makabila tofauti waliooa Ungonini? Huyu jamaa yangu afanye uamuzi gani? Mbona kama ni kabila la kuogopa kimaadili?
Wajuzi tupeni ujuzi kuhusu kabila hili ambala huko nyuma lilikuwa na heshima kubwa hapa nchini na tabia hiyo walipewa kabila fulani kutoka kanda ya ziwa. Kwa nini leo Wangoni wabebe sifa hii ya umalaya hata kwa wasomi tena kwa taaluma nyeti?
Tujadili kwa ushahidi wanajamvi!
huwezi kupigia mstari, ila huwa naamini kuna maeneo roho ya uzinzi ilijikita zaidi, mengine roho ya ukatili, nyingine uchawi n.k. mfano, huwezi kulinganisha uzinzi wa hovyo sumbawanga na songea. mikoa au hata kabila la wangoni, wanyakyusa, wahaya, wasukuma, wakala na wajita, warangi, wanyaturu na wanyiramba, wambulu, kufanya ngono na yeyote ni kitu cha kawaida sana.
kama kuna mbulu hapa, anajua na hana haja ya kubisha. ngono ni kitu cha kawaida na maji moja tu. ni malaya kwa asili.
wahaya ngono wanaithamini sana sana, na ni malaya kwa asili. wanyaturu malaya mno, wanyakyusa wanaipend amno, wangoni ni malaya hadi wamatengo ukienda mbinga ni wale wale tu.
tofauti yake, makabila kama ya wachaga, wahehe, wabena, wamasai n.k hadi akuvulie umehangaika na sio kitu cha kujivunia kabisa. kwa mwanamke anajisikia vibaya sana akijulikana kalala na fulani, fulani, fulani fulani na fulani na wote mnajijua kuwa mmepita na bado anagawa, makabila haya icho ni kitu kigumu.
nimeishi usukumani, wasukuma wana huruma sana, ukitongoza msukuma akagoma, utakuwa wa ajabu sana, vile vile walivyo wapole na kujifanya wana heshima, heshima hiyo wanaifanya kwa yeyote. malaya mno. mnaoishi shinyanga, mwanza, geita na unyamwezini (ndugu zao) mnalijua hili.
hata hivyo, yeyote ni mdhambi anahitaji neema ila ukweli yapo makabila ambayo uzinzi kwao ni kitu cha kawaida hata hakionei aibu. na ni mwanamke.