Las vegas ya makete.Nasoma uzi huu nipo kaunta hapa Las Vegas
Hakuna watoa misaada kama walevi kama haujui Hilo ndio ujue Sasa ..... Nyie mnajuaga kuvaaa na kununua migari tu kuonyesha ufahari mlevi Hana ratiba hizo .... Mi nimeshuhudia kabisa hivi amekunja kanisani baada ya Misa msoma matangazo akasoma kuna mama anashida yupo hapo nje mwenye chochote wapite wamsaidie.
Padre mmoja mjinga sana (samahani nashukuru na parokiani kaondolewa karudishwa India) akazuia waumini kumpa pesa Wala msaaada pale itakusanywa ipelekwe kanisani ndio apelekwe hospital mtu yupo na Mtoto na Hali ni mbaya ...pembeni tu ya parokia Kuna bar Tatu .... Alipitapita humo na sie wengine hatukupeleka kwanza Baraka nyumbani tulikuwa sehemu Moja wapo tunakemea kemea uzee akapita .... Na mule baa akachangiwa fastaaa 50 na akaitwa mtendaji na Mtu wa afya(bima akakatiwa Chf iliyoboreshwa akaendelea na taratibu za matibabu ya mtoto.
kuna mtu nilimuona analipia wine bar tsh 180,000. Toka siku iyo nikaacha kabisa kwenda bar... ni uwendawazimuWiki laki kwenye gambe? Hiyo mkuu kuna watu ni kwa siku tu, tena ni masaa machache kisha wana withdraw nyingine ya gambe na nyama choma. Life haijawahi kuwa fair kabisa yani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kuna mtu nilimuona analipia wine bar tsh 180,000. Toka siku iyo nikaacha kabisa kwenda bar... ni uwendawazimu
Hakuna starehe kubwa Kama kutest mitambo uliyoigundua kwaakili yako kiongozi yuopo sahihi hataingekua Mimi eti niigundue sukhoi55 alafu nisianzishe Vita weee nanikasemaBinadamu ni kati ya viumbe vya hovyo kabisa kuwahi kuishi hapa duniani. Wakati mwingine hua napata mashaka sana kama binadamu kweli ni viumbe wa Mungu!
Unaambiwa hapa duniani, kuna utajiri wa kutosha kabisa kuwafanya binadamu wote waishi maisha "decent" na wapate huduma zote muhimu, lakini ni 1% ya wanadamu ndio wanashikilia 99% ya utajiri! Haya jiulize huo utajiri wanaufanyia nini? Ni starehe.., wanawake.., show off, ulevi, umalaya, kamari, nk.. Wakiona wamechoka wanaanza kuua wenzao huku wao wamekaa pembeni wanaangalia kama kule Ukraine.
HongeraHakuna starehe kubwa Kama kutest mitambo uliyoigundua kwaakili yako kiongozi yuopo sahihi hataingekua Mimi eti niigundue sukhoi55 alafu nisianzishe Vita weee nanikasema
🤣🤣🤣🤣🤣kuna mtu nilimuona analipia wine bar tsh 180,000. Toka siku iyo nikaacha kabisa kwenda bar... ni uwendawazimu
Mkuu hii ni ya MwanzaLas vegas ya makete.
Wengine wananunua nyapu inayofanana na ya mkewake nyumbani kwa mamilioni ya pesa kisa tuu ni mpya kwake ilihali ni used wa wenginekuna mtu nilimuona analipia wine bar tsh 180,000. Toka siku iyo nikaacha kabisa kwenda bar... ni uwendawazimu
Mambo ya Las Vegas pub hiyo ndani ya bongo.Las vegas ya makete.
Kama kawa mjombaMambo ya Las Vegas pub hiyo ndani ya bongo.
Kwaresma njema mkuu,asante kutukumbushaHali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight.
Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule.
Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku.
Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi punguza utumie sitini elfu, halafu elfu arobaini saidia ndugu na jamaa zako. Nunulia hata watoto wa majirani wasio na uwezo madaftari.
wanywaji na walevi tuna roho nzuri sana....Tujipongeze kwa hiloHakuna watoa misaada kama walevi kama haujui Hilo ndio ujue Sasa ..... Nyie mnajuaga kuvaaa na kununua migari tu kuonyesha ufahari mlevi Hana ratiba hizo .... Mi nimeshuhudia kabisa hivi amekunja kanisani baada ya Misa msoma matangazo akasoma kuna mama anashida yupo hapo nje mwenye chochote wapite wamsaidie.
Padre mmoja mjinga sana (samahani nashukuru na parokiani kaondolewa karudishwa India) akazuia waumini kumpa pesa Wala msaaada pale itakusanywa ipelekwe kanisani ndio apelekwe hospital mtu yupo na Mtoto na Hali ni mbaya ...pembeni tu ya parokia Kuna bar Tatu .... Alipitapita humo na sie wengine hatukupeleka kwanza Baraka nyumbani tulikuwa sehemu Moja wapo tunakemea kemea uzee akapita .... Na mule baa akachangiwa fastaaa 50 na akaitwa mtendaji na Mtu wa afya(bima akakatiwa Chf iliyoboreshwa akaendelea na taratibu za matibabu ya mtoto.