Hiyo pesa mtu anayotumia kununua pombe kwani inapotea? Kuna watu kibao wa hali ya chini wameajiriwa /wamejiajiri kwenye sekta hiyo. Wanahudumia family zao, wanasomesha watoto wao, wanasaidia wazazi wao nk. Vile vile kodi nyingi inakusanywa inayotumika kuboresha huduma za afya, miundombinu nk.