Njia ni mbili tu.Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Naungana na wewe Mkuu japo kuna mtu mi akawa ananiuliza eti nawezaje kushangilia watu nisiowafahamu?Mimi ambacho hufanya kila muda taifa stars wanavyo cheza hushabikia timu pinzani bahati nzuri hazijaniangusha na nimekuwa na furaha sana. Pia kama ni mwana Yanga mwenzangu unaweza ukashabikia Mali Africa ni moja
Huyu ni shemeji yetu, hata yeye anaumia kimya kimya.😎Namuona @MK254 anatafuta nini huku?
Stars inakera mnoo, sijui Kama wachezaji na makocha wanajua maumivu wanayopitia Mashabiki. Mechi ya Jana wameuza.Naungana na wewe Mkuu japo kuna mtu mi akawa ananiuliza eti nawezaje kushangilia watu nisiowafahamu?
Mi nilichomjibu tu kuwa naweza na ni kweli naweza na hii imenisaidia sana kuepukana na stress za kujitakia.
HakikaaaNaungana na wewe Mkuu japo kuna mtu mi akawa ananiuliza eti nawezaje kushangilia watu nisiowafahamu?
Mi nilichomjibu tu kuwa naweza na ni kweli naweza na hii imenisaidia sana kuepukana na stress za kujitakia.
Mkuu serious unaumia stars wakifungwa?Stars inakera mnoo, sijui Kama wachezaji na makocha wanajua maumivu wanayopitia Mashabiki. Mechi ya Jana wameuza.
Taifa starts haikuenda AFCON.Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Kwanza jina la timu libadilike, wale sio stars wa Taifa lote!?Taifa starts haikuenda AFCON.
CCM walitengeneza timu yao wakaenda badala ya Taifa Staz😃
Ikicheza we ibetie magoliKutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Next mechi team Mayele tumejiandaa kutetemaNaungana na wewe Mkuu japo kuna mtu mi akawa ananiuliza eti nawezaje kushangilia watu nisiowafahamu?
Mi nilichomjibu tu kuwa naweza na ni kweli naweza na hii imenisaidia sana kuepukana na stress za kujitakia.
Wanapambania taifa gani kwani?Kwanza jina la timu libadilike, wale sio stars wa Taifa lote!?
Ni aibu kama kweli cream ya Taifa zima ni ile ya watu wasio jua kujiongeza(Agressiveness) na kupambania Taifa.