Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa kama mmi tu, usiishabikie wala kuiangalia ichezapoKutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtani stars kuna watu Inawatesa kabisaa wakifungwaa? Hapana siaminiiiHawajui aisee.
Ndio maana mpira ukiisha kila mmoja anafurahi na best ake huku mashabiki tumenuna.
Itakuchukua miezi mitatu kusahau halafu huwezi kusahau maana wadau Kila Kona wanaishangaa timu yetu ya Taifa stars kushikilia bomba wakati wanaongoza kwa goli Moja ambapo pia wapinzani walikuwa pungufu tuna mawali mengi ambayo hayana majibuKutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.