Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Mungu ibariki afrika ,afrika ni moja, tupige vita ubaguzi, na kuonyesha hilo tushabikie timu zote zinapocheza na taifa stars. tupo pamoja mkuuMimi ambacho hufanya kila muda taifa stars wanavyo cheza hushabikia timu pinzani bahati nzuri hazijaniangusha na nimekuwa na furaha sana. Pia kama ni mwana Yanga mwenzangu unaweza ukashabikia Mali Africa ni moja
acha ubaguzi mkuu. shabikia timu zinazocheza na stars. utapata furahaKutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Mbinu ni moja tu ni kuindoa CCM akilini mwako na automatically Stars itakuwa imeondoka. Over!Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Hawajui aisee.Stars inakera mnoo, sijui Kama wachezaji na makocha wanajua maumivu wanayopitia Mashabiki. Mechi ya Jana wameuza.
Kabisa yaani. Wacha tutafute penye furaha tu kwa kweeli.Next mechi team Mayele tumejiandaa kutetema
Halafu mayele ni kaka yangu kwa upande wa mjomba mzaa baba.Next mechi team Mayele tumejiandaa kutetema
Kocha kiazi sana yuleHalafu mayele ni kaka yangu kwa upande wa mjomba mzaa baba.
Nachukia sana kocha anamuanzisha muda umeenda.
Safari hii Mayele aanze 1st halfKabisa yaani. Wacha tutafute penye furaha tu kwa kweeli.
Mechi ya morocco kuna mtu alikufa, jana kuna mtu alizimia.
Kuipenda hii timu yahitaji moyo sana.
acha kuifatilia.Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Tunaiombea stars ipigwe hata 6 mechi ijayo Africa ni mojaMungu ibariki afrika ,afrika ni moja, tupige vita ubaguzi, na kuonyesha hilo tushabikie timu zote zinapocheza na taifa stars. tupo pamoja mkuu
amenTunaiombea stars ipigwe hata 6 mechi ijayo Africa ni moja
Acha uzwazwa hawaumii kina mwijaku na babalevo waliolipiwa kila kitu kwenda kuishangilia timu ya kichwa cha mwendawazimu ije kuwa wewe??Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Kabisa maana ukiwekeza moyo utakufa kwa presha.Inabidi Unaishangilia Kimbinu.
vuta bangiKutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Kuwa Mzalendo we MtotoSafari hii Mayele aanze 1st half
Amuweke Manula goli za kutosha
Mungu wabariki wacongoman[emoji91]