Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

Kuwa kama mmi tu, usiishabikie wala kuiangalia ichezapo
 
Hawajui aisee.

Ndio maana mpira ukiisha kila mmoja anafurahi na best ake huku mashabiki tumenuna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mtani stars kuna watu Inawatesa kabisaa wakifungwaa? Hapana siaminiii
 
Itakuchukua miezi mitatu kusahau halafu huwezi kusahau maana wadau Kila Kona wanaishangaa timu yetu ya Taifa stars kushikilia bomba wakati wanaongoza kwa goli Moja ambapo pia wapinzani walikuwa pungufu tuna mawali mengi ambayo hayana majibu
 
Siangalii mechi Leo, mtanipa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…