Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Nikikupa ujauzito utayavaa sana bebii vijora/madela ni mazuri sana kwa wakati huoSioni tatizo la dera/mtu anayevaa dera
Lakini binafsi siyapendi.....sina,sijawahi kuwa nayo na sidhani kama nitakuja kuwa nayo