Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

mimi kwangu naona dera ukishalivaa kuna kitu hakipo sawa akilini mwako, mimi sitaki mke au mdada wa karibu yangu alivae...lina uswahili flani hv..hata ukitoka nae heshima yake na yako haviwezi zingatiwa kihivyoo
Wewe nae unajifanya mjanja kumbe mshamba tu.
Toka lini Dera Likawa vazi la kutokea mbele za watu?
Dress code

Dress code.

Dera linavaliwa msibani, linavaliwa muda wa kwenda sokoni, umeamka hovyo hovyo hujielewi unalichukua na kulitundika mwilini na kuendelea na shughuli za nyumbani.
Umeamka siku hutaki kubana mwili unalichukua unalivaa.

Ukiwa mjamzito na umechoka ndo mkombozi kabisaaaaa unajitupia tu.

Unaweza kulivaa ukienda kwa wakwe na kimkanda kiunoni au ukavalia na kakoti amaizing ukatoka bomba hapa unaweza kiting a mpaka ofisini jumamosi.

Kwenye vikao kao vya ukoo likakuokoa.
Sasa nyie mnafikiri wavaa madera ni wake wachezesha kalio moja kwenye kigodoro.
 
Kama ana chura mruhusu tu avae mkuu kama hana hiyo Ni kanzu tu mshauri asipendelee kulivaa
 
Mkuu Bora Dera,kuliko visket vyao Kama utumbo vile
 
Mimi Dera lilishanishinda kabisa kuvaa na linaharibiwa haswa na wanawake wa uswahili walioshindikana kitabia
 

Kwa hiyo mkuu wewe umewaona wanaosasambua tu uswahilini na madela ila wanaojiuza kwenye maklabu na madanguro na jeans zao hujawaona????
Kati ya vazi la dela na suruali kwa mwanamke ni lipi lenye heshima kwenye jamii????
 
Embu muone shogako alivyopendeza.
Hao wanawake wa uswahilini tuwaache tu.
Mjadala wao ni mrefu sana.
Tujadili Dera. View attachment 1535079
Mimi huwa sijali kupendeza basi tu sipendi Hilo vazi hata iweje hata nikiwa na mimba nitashona fashoon nyingine nipendeze Ila dira to me limenipita kushoto kabisa naona ni culture ya waswahili
 
mi ni slow learner, sijaelewa kabisa hapa.....
 
Kanga hazimshiki, itakuwa hana chura huyo!
 
Vazi la dera ni zuri mwanamke akivaa na kitu kingine ndani,,,
Lakini akivaa dera bila kuvaa kitu lingine ndani ni mtihani mzito Mkuu,,
Tena ni shawishi mkuu,,
Zigo linacheza cheza kama paka yupo kwenye kiroba,,,anakwenda kutupwa..

Pia hili vazi linawafaa na kuwapendeza wanawake vibonge na wa TV za chogo, ila kwa wale wembamba na flat screen Mmmmmmh.....
 
anayo, ya kutosha tu. lakini je, ni vazi sahihi kwa mke wa mtu?
Mkeo ana tatizo.
Haiwezekani yeye avae madira tu.
Mshonee gauni nzuri nzuri.
Mnunulie magauni mazuri mazuri.
Skirt nzuri nzuri.
Jeans kali kali.
Mwanzo mwanzo uwe unamuambia nataka uvae hivi leo akizoea mambo yatakuwa sawa.
 
Tulia kwanza ndio uandike kwani unakimbizwa?? mtoa mada mtu wake anaenda nalo kila sehemu, ila ukitulia una point kuwa sio vazi rasmi ni la dharura..ila kwangu hzo dharura ziwe chache sio kwa wiki una dharura ya five to six days, at least kwa mwezi mara tatu au nne..
 
Reactions: amu
Kwani hata unafikiri nilisoma topic? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilianza kuchangia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…