Wadau, vazi la dera linafaa kwa mpenzi/mke wa mtu?

keshazoea huyo mkuu muache tu alivae mpaka achoke
 
Dera tamu kama mama ina mzigo, huwa napenda akiwa anafanya shughuli zake za asubuhi kama kupika chai na kuosha vyombo baada ya kuamka atupie dela.

Kuna ka hisia flani katamu kananijiaga kichwani 🤣🤣🤣 ila siri yangu
 
Vazi la dera ni zuri mwanamke akivaa na kitu kingine ndani,,,
Lakini akivaa dera bila kuvaa kitu lingine ndani ni mtihani mzito Mkuu,,
Tena ni shawishi mkuu,,
Zigo linacheza cheza kama paka yupo kwenye kiroba,,,anakwenda kutupwa..
Hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…