Hao jamaa wako too far now, in terms of cyber ni nothing but incredible. Wana kikosi maalum cha jeshi kwa ajili ya cyber warfare na wanao toka huko baada ya kutumikia jeshi huwa wakonin high demand duniani. Huajirika sekta binafsi. Wana value skills zaoIsrael imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location za Hamas,
Hezbollaha waliamua kutumia pagers na radiocalls zinazotumia mawimbi ya radio lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua locations zao na ku trigger milipuko.
Israel wapo vizuri kihivyo kwenye teknolojia ?
Nilisikia wanajeshi baadhi yao wanamiliki makampuni ya IT kama software, antivirus, apps, n.k. kuna ukweli ?Hao jamaa wako too far now, in terms of cyber ni nothing but incredible. Wana kikosi maalum cha jeshi kwa ajili ya cyber warfare na wanao toka huko baada ya kutumikia jeshi huwa wakonin high demand duniani. Huajirika sekta binafsi. Wana value skills zao
Actualy hawaruhusu active military member kumiliki kampuni. Hao ni ex-military au wastaafu. Wanakuwa wameshatoka jeshiniNilisikia wanajeshi baadhi yao wanamiliki makampuni ya IT kama software, antivirus, apps, n.k. kuna ukweli ?
Toa maelezo vizuriActualy hawaruhusu active military member kumiliki kampuni. Hao ni ex-military au wastaafu. Wanakuwa wameshatoka jeshini
Mfano mzuri ni NSO group, with famous product pegasus virus
Mimi nadhanj kinachiwasaidia ni mwingiliano wa CIA ya marekan. Mfano sisi tunaotumia Google na android tuko Uch usa akiihutaji taarif zetu ni rahis san kuziptaView attachment 3100451
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua locations zao na ku trigger milipuko iliyojeruhi members wengi wa Hezbollah.
Tukitilia maanani udogo wa nchi na population yake, Israel wapo level gani kwenye haya mambo kidunia ?
Think out of the box, sio kwamba Mossad, ili hack simu zaidi ya 2000+, solar panel, pagers no, na kuzilipua, unawezaje kuvikia vifaa vyote hivyo kwa watu tofsuti, it's impractical,View attachment 3100451
Israel imekuwa ikidukua simu zinazotumia internet na minara ya simu kufuatilia mawasiliano na location.
Kikundi cha Hezbollah waliamua kukwepa tundu hili kwa kutumia pagers zinazotumia mawimbi ya redio pamoja na radiocalls kuwasiliana lakini bado Israel iliweza kudukua mawasiliano, kujua locations zao na ku trigger milipuko iliyojeruhi members wengi wa Hezbollah.
Tukitilia maanani udogo wa nchi na population yake, Israel wapo level gani kwenye haya mambo kidunia ?
wapo level za juu sana.View attachment 3100451