Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Kwahiyo kila unae muona humu Jf ni mvulana, sio....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Yaaah sina uhakika sana na hayo majina ya kike km ni kweli ni wasichana ila kwa wanaume ni ngumu sana kutumia jina la kike ili hali yy ni mvulana...
 
Haka kajamaa sio hatari wala nini. Kajamaa kamekuepo humu kwa muda mrefu, na kisha kalibahatika kufahamiana na baadhi ya wadau humu jf.
Leo Kajamaa kanakuja na style ya kubashiri, ili katafute kick....[emoji45] [emoji45]

inawezekana huyu mjanja sana ngojea namimi aniambie nipoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…