Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Si kweliPaprika anafanana n'a Malia obama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliPaprika anafanana n'a Malia obama
hhahahahahahahahahahahahahaha, uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHebu tabiri na mwanadada CHIKIRA MTABARI yukoje....
Sawa mkuuHapana Mkuu,
Nilio yasema yamejitosheleza
Pengine sijaelewa ndugu yng hebu nieleweshe...Hivi umeelewa ulicho kiandika kweli (guys).....[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwahiyo kila unae muona humu Jf ni mvulana, sio....[emoji34] [emoji34] [emoji34]Pengine sijaelewa ndugu yng hebu nieleweshe...
Yaaah sina uhakika sana na hayo majina ya kike km ni kweli ni wasichana ila kwa wanaume ni ngumu sana kutumia jina la kike ili hali yy ni mvulana...Kwahiyo kila unae muona humu Jf ni mvulana, sio....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Haka kajamaa sio hatari wala nini. Kajamaa kamekuepo humu kwa muda mrefu, na kisha kalibahatika kufahamiana na baadhi ya wadau humu jf.
Leo Kajamaa kanakuja na style ya kubashiri, ili katafute kick....[emoji45] [emoji45]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mleta uzi inaonesha we ni jmaa fulani iv mfupi mweupe,afu una tumacho tudogo tumeingia ndani,na unatokea gongo la mboto...
MmmmhThere you're.
Nani yupo kwenye uchumbaHahah...tumwombee kheri asije kumwagwa
[emoji4][emoji4]..Hebu huko!!
Niambieni sasa.....Ndiye mtukanaji usinambie shoga..
Nimekununia.[emoji4][emoji4]..
Kwanini shemeji!.. yaani ungejua nilivyokumiss walai ungepata kigugumizi cha utamuNimekununia.
Na naombea awe kaishiwa bando
Busy mamaAlafu sijamuona humu leo
Asinambie nnIla usimwambie....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na naombea awe kaishiwa bando