Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

mahondaw...

Ana roho nzuri sana, mwenye mapenzi wa kweli... hana makuu wala pupa, ni mcheshi kwa kila mtu ila yupo makini sana na mambo yake... ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea... anajitambua... ni mzuri wa umbo, sura, tabia na mambo mengine nisingependa kuyaelezea hapa... ana mapenzi ya kweli ila ni mtukutu na napenda kudeka sana... but she is very sweet... She looks strong from the outside but she has a very sensitive, sweet, caring heart... which you must handle her with care... thats what am doing...


I love this lady called mahondaw and she know's it...


cc: mahondaw

OMG jamani thanks
I love you too my lovely super Hb Smart911

Love you so muah muaaaaah muah muaaaaah

Mengine wacha nifunge domo langu[/QUOTE]
naona unajazwa maneno ili uingie kibla uliwe
 
Tatizo nyota Daby nyotaa huyo aliaga mizimu ya kwao huyo

Sio kama kina saint Ivuga anakurupuka tu usingizini na kuvamia barabara kuu
What do he respect?!
Afu I doubt your Id na ya yule HR sijui ngapi ngapi
Nikama mtu mmoja vile

Heheheee
Nacheka kwa dharaaaau

Afu I doubt.....
Sijakuelewa????
 
Ninanacho amini mm. Kila avatar mtu aliyeweka ndio inabeba uhalisia wa mtu husika. Mf..
Mtu anaweza kuweka avatar ya mtu akiwa katabasamu basi huyo anakua yupo very charming yaan mshikaji. Eg Iceman 3d. Transcend. Daby. Pia mtu akiweka avatar ya mtu yupo siriaz na yy anakua siriaz mf. BAK. Faizafox..

Kama nimekosea rukhusa kurekebisha

Mfano mtu aliyeweka avatar ya mamba anakuwa anaogelea sana?!
 
It's better to connect at least you will get a real picture ili ufunge domo lako chafuuu afu bayaaa

Hahaha
Nacheka kwa dharaaaau
afu katika kitu ambacho sipendi ni beef na msichana... well kama unaona nina mdomo mchafu basi hutaniona tena kwenye post zako ili uwe na amani.
 
Ha ha haaa au unataka kuwa kama lizaboni mwaka flani alianika id za watu humu
Nimekumbuka hii mambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nina miaka zaid ya saba hapa..sema hii id nimeingia nayo juzi....hujiuliz nijiunge jf juzi nijue habari zote hizo mbona mnakua wagumu kufikirisha ubongo
Naona unataka kutuingiza choo cha watoto.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
haka kajamaa hatari sana..hebu bashiri namimi nipoje ukipata we ni mchawi
Haka kajamaa sio hatari wala nini. Kajamaa kamekuepo humu kwa muda mrefu, na kisha kalibahatika kufahamiana na baadhi ya wadau humu jf.
Leo Kajamaa kanakuja na style ya kubashiri, ili katafute kick....[emoji45] [emoji45]
 
afu katika kitu ambacho sipendi ni beef na msichana... well kama unaona nina mdomo mchafu basi hutaniona tena kwenye post zako ili uwe na amani.

Shida ni unachoropoka nahuo mdomo wako
That's the problem
I also dislike bifu za kishamba unaonekana mshamba sana wa mapenzi wewe wewe sijui ndo unabalehe ..

Anyway better be and all the bests
 
Acha kukariri sema id ya juzi.ila mimi ni mkongwe kuliko hata ww uwe unajiongeza nikae siku mbili niwajue watu wote hao
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu...[emoji108] [emoji108]
Ona sasa unavyo anza kujikamatisha.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom