Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Hapana Mkuu,Sema neno
Nilio yasema yamejitosheleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mkuu,Sema neno
i cant connect dots.. tom b una vituko kweli..relax!True love come with jealous in it Sijui walimaanisha nini wazungu
Khakhaakhaaa
Nacheka kwa dharaaaau
mahondaw...
Ana roho nzuri sana, mwenye mapenzi wa kweli... hana makuu wala pupa, ni mcheshi kwa kila mtu ila yupo makini sana na mambo yake... ni mwepesi wa kuomba msamaha pale anapokosea... anajitambua... ni mzuri wa umbo, sura, tabia na mambo mengine nisingependa kuyaelezea hapa... ana mapenzi ya kweli ila ni mtukutu na napenda kudeka sana... but she is very sweet... She looks strong from the outside but she has a very sensitive, sweet, caring heart... which you must handle her with care... thats what am doing...
I love this lady called mahondaw and she know's it...
cc: mahondaw
Acha ushamba wa mapenzi dogo! ( unakua kama wasukuma vipi chalii akemmmh
It's better to connect at least you will get a real picture ili ufunge domo lako chafuuu afu bayaaai cant connect dots.. tom b una vituko kweli..relax!
Ninanacho amini mm. Kila avatar mtu aliyeweka ndio inabeba uhalisia wa mtu husika. Mf..
Mtu anaweza kuweka avatar ya mtu akiwa katabasamu basi huyo anakua yupo very charming yaan mshikaji. Eg Iceman 3d. Transcend. Daby. Pia mtu akiweka avatar ya mtu yupo siriaz na yy anakua siriaz mf. BAK. Faizafox..
Kama nimekosea rukhusa kurekebisha
afu katika kitu ambacho sipendi ni beef na msichana... well kama unaona nina mdomo mchafu basi hutaniona tena kwenye post zako ili uwe na amani.It's better to connect at least you will get a real picture ili ufunge domo lako chafuuu afu bayaaa
Hahaha
Nacheka kwa dharaaaau
Nimekumbuka hii mambo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha haaa au unataka kuwa kama lizaboni mwaka flani alianika id za watu humu
Naona unataka kutuingiza choo cha watoto.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]Nina miaka zaid ya saba hapa..sema hii id nimeingia nayo juzi....hujiuliz nijiunge jf juzi nijue habari zote hizo mbona mnakua wagumu kufikirisha ubongo
Haka kajamaa sio hatari wala nini. Kajamaa kamekuepo humu kwa muda mrefu, na kisha kalibahatika kufahamiana na baadhi ya wadau humu jf.haka kajamaa hatari sana..hebu bashiri namimi nipoje ukipata we ni mchawi
Yawezekana ndio.Mfano mtu aliyeweka avatar ya mamba anakuwa anaogelea sana?!
Afu I doubt.....
Sijakuelewa????
afu katika kitu ambacho sipendi ni beef na msichana... well kama unaona nina mdomo mchafu basi hutaniona tena kwenye post zako ili uwe na amani.
Ukiwa muongo, usiwe msahaulifu...[emoji108] [emoji108]Acha kukariri sema id ya juzi.ila mimi ni mkongwe kuliko hata ww uwe unajiongeza nikae siku mbili niwajue watu wote hao