Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Yani humu jf kama kipindi kile tunaanza o level kuna vimemba vina mwaka mmoja humu basi vikiona id ina siku 3 vitatoa shitt zote badala ya kujadili mada..


Teh teh
 
Mleta Uzi, kwakua huu Uzi hauna maana, NA unaonekana KUKOSEA SANA.

NA KWA WENGINE HII NI KAMA MATUSI NASHAURI UNGEUFUTA TU.
TOO BAD.






kuna watu wameona hauna maana hawajakoment kabsa.Too bad umekuja kujicomentia hapa UNASIKITISHA macmuga
 
haka kajamaa hatari sana..hebu bashiri namimi nipoje ukipata we ni mchawi
 
1.lege
Ni kijana mwenye umbo LA wastani,umri wake miaka 30 mpaka 35 hv,mweusi kiasi anayeamini taaluma bora Zaid ni udaktari.

2. The bold
Kijana mwenye umri Kati ya miaka 30 mpaka 40 hv,
Maji ya kunde,mwembamba kiasi,kimo cha wastani hv
HR66
ni kijana mmoja muhuni wa mtaan,,, ana kimo cha wastani maji ya kunde,,,anapenda sana stori za vijiweni na anaamin sana kwa anachokijua yeye na hapendi kukosolewa hata kam amkosea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ,,,na imagine tuuu!!!
 
[QUOTbeiart911, post: 20392948, member: 194588"]cc: mahondaw[/QUOTE]

Smart911 --huyu kwanza mzunguuuu
-very descent but Anajiamini sana
-Yupo makini sana na kila akifanyacho
-A man of principles huyu ana principle zake mattatta yeye hata umchokonoe hata umtukane Wee utatokwa povu yeye walaaaa anakuangalia tu as long as you don't mean to his life you can go to hell
-Mtu wa maamuzi huyu akiamua ameamua never turn back

-Ana mapenzi ya Kweliiii sio kama ya kibongo bongo
-Akipenda amependa kweli and you will always be happy and enjoy
-He's crazy in love huyu ana mambo yake fulani hivi dah utabaki hoooiii na kuomba ukachukue begi lako hom uje kuishi nae milele wakati ndokwanza intro tu
....

Will be back
cc: Smart911
 
Back
Top Bottom