Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
safi sana Dada kujiamini lazima Daby am sorry [emoji23]Namshangaa, haachiki hapa hata kwa kizizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi sana Dada kujiamini lazima Daby am sorry [emoji23]Namshangaa, haachiki hapa hata kwa kizizi
Kujiamini lazima mdogo wangu, waweza baki single milele kwa wogasafi sana Dada kujiamini lazima Daby am sorry [emoji23]
[emoji23][emoji23]Kujiamini lazima mdogo wangu, waweza baki single milele kwa woga
[emoji85][emoji85][emoji85]safi sana Dada kujiamini lazima Daby am sorry [emoji23]
Namshangaa, haachiki hapa hata kwa kizizi
Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.[/QUOTE
Mkuu uwe unajiongeza basi..nikae siku 2 niwajue memba wote hao,nina miaka saba humu nahisi wakati najiunga ulikua form two
Mleta uzi lazma umetokea koromije [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hance Mtanashati je?Habari
Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu sijawai kukutana na mtu wa humu lengo la uzi huu ni kujaribu kuangalia wadau wa humu jf kwa majina yao na kujua jinsi walivyo kwa sura na maumbo,mfano
1.faizafoxy
Huyu ni mama mtu mzima maji ya kunde ni mnene kwa umbo sura yake muda wote kakasirika hata cha kutabasamu pia hupendelea kuvaa miwani.
2.BAK
huyu kwa jinsi ninavyomuona ni tall flani iv mweusi kama baraka the prince.
3.Nifah
huyu kama bold anavyomuitaga ni cheupe flani hivi.ana kishepu cha kimtindo kama jokate iv lakini sio sana ana pua nyembaba na macho ya wastani.
4.Miss chaga
Huyu ninavyomuona ni black beuty ila kidogo hajajaliwa chura yuko na umbo la wastani pia anapenda kunyoa low cut.
5.GENTAMICYNE nahisi nimekosea kuandika.
Huyu jamaa bana ni kama mtu mzima hivi sema anaonekana nk wale wafup kiumbo kama stamina au shiza kichuya.Huyu jamaa anaonekana anapenda kuvaa kipapaa kama wale watu wa kongo.
6.Joanah
ingawa kaweka avatar kadada flani kazuri sidhani kama yuko vile huyu kila nikimuona naona amafanana na rubby
7.evelyn salt
Madam mwalimu huyu anaonekana mrembo sana kwa mtazamo wangu.Niliwai ona kaolewa na dokta asilimia kubwa ya madokta hawaoi vibofu.sema huyu eve anaonekana mweupe sana.nahis tuu
8.mshanajr
Huyu mkuu ni mfupi kibonge ingawa hana tumbo kama le mutuzi
9.Nyagi ngabu
Haka kajamaa kanaokena hakana mwili ni kembamba kinoma japo ni kasukuma.vile vidharau vyake inaonekana hata yeye mwili wake hautaki
WADAU MALIZIENI mtaje mwanachama wa humu ambaye hajuwai kutana nae na muelezee unahisi yukoje...
Asante
Siri yetuIla usimwambie....
Nalazimika kusema kwamba..... Wewe sio mgeni humu kama ulivyo jitambulisha, kwasababu hayo ulio yaandika mhhhh.......[emoji2] [emoji2]
Alafu ID yako ndio kwanza ina siku 2 tu......[emoji45] [emoji45]
Sina shaka hao wote ulio wataja itakua unawafaham na ulisha kutana nao aiseeeee......
Mbona umeandika kiupendeleo sana
Ila ni sir kama sio wewe...ila kama ni wewe haina haja ya siri.Siri yetu
Umeingia JF juzi Jumapili!!!!
Double id inafanya kaziJoined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.
Sitaki kukuumbua tafadhali....Mkuu kweli iyo id ni mpya manake ya zamani kila nikilog in inakataa nikaamua kuunda mpya.Kuhusu kukutana na hao niliowataja sio kweli thread imekaa kichit chat tuu
I got youIla ni sir kama sio wewe...ila kama ni wewe haina haja ya siri.
Sijui umenielewa!
Gracious, nduguI got you
Be 100% sure kwamba sio mimi ,wala sihitaji kuwa fake zaidi ya mara moja
Being joanah inatosha sana tu
Nahisi umenielewa