Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Joined last Sunday. Kaa hata wiki mbili basi ndo uweze kuwafahamu wahusika. Watu tumekata miaka miwili bado hatujui member hata mmoja labda wale verified nao ni kwa sura basi.[/QUOTE








Mkuu uwe unajiongeza basi..nikae siku 2 niwajue memba wote hao,nina miaka saba humu nahisi wakati najiunga ulikua form two
 
Habari

Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu sijawai kukutana na mtu wa humu lengo la uzi huu ni kujaribu kuangalia wadau wa humu jf kwa majina yao na kujua jinsi walivyo kwa sura na maumbo,mfano


1.faizafoxy

Huyu ni mama mtu mzima maji ya kunde ni mnene kwa umbo sura yake muda wote kakasirika hata cha kutabasamu pia hupendelea kuvaa miwani.



2.BAK

huyu kwa jinsi ninavyomuona ni tall flani iv mweusi kama baraka the prince.



3.Nifah

huyu kama bold anavyomuitaga ni cheupe flani hivi.ana kishepu cha kimtindo kama jokate iv lakini sio sana ana pua nyembaba na macho ya wastani.


4.Miss chaga

Huyu ninavyomuona ni black beuty ila kidogo hajajaliwa chura yuko na umbo la wastani pia anapenda kunyoa low cut.



5.GENTAMICYNE nahisi nimekosea kuandika.
Huyu jamaa bana ni kama mtu mzima hivi sema anaonekana nk wale wafup kiumbo kama stamina au shiza kichuya.Huyu jamaa anaonekana anapenda kuvaa kipapaa kama wale watu wa kongo.


6.Joanah

ingawa kaweka avatar kadada flani kazuri sidhani kama yuko vile huyu kila nikimuona naona amafanana na rubby



7.evelyn salt

Madam mwalimu huyu anaonekana mrembo sana kwa mtazamo wangu.Niliwai ona kaolewa na dokta asilimia kubwa ya madokta hawaoi vibofu.sema huyu eve anaonekana mweupe sana.nahis tuu



8.mshanajr

Huyu mkuu ni mfupi kibonge ingawa hana tumbo kama le mutuzi

9.Nyagi ngabu


Haka kajamaa kanaokena hakana mwili ni kembamba kinoma japo ni kasukuma.vile vidharau vyake inaonekana hata yeye mwili wake hautaki




WADAU MALIZIENI mtaje mwanachama wa humu ambaye hajuwai kutana nae na muelezee unahisi yukoje...


Asante
Hance Mtanashati je?
 
Nalazimika kusema kwamba..... Wewe sio mgeni humu kama ulivyo jitambulisha, kwasababu hayo ulio yaandika mhhhh.......[emoji2] [emoji2]
Alafu ID yako ndio kwanza ina siku 2 tu......[emoji45] [emoji45]
Sina shaka hao wote ulio wataja itakua unawafaham na ulisha kutana nao aiseeeee......




Mkuu kweli iyo id ni mpya manake ya zamani kila nikilog in inakataa nikaamua kuunda mpya.Kuhusu kukutana na hao niliowataja sio kweli thread imekaa kichit chat tuu
 
Mkuu kweli iyo id ni mpya manake ya zamani kila nikilog in inakataa nikaamua kuunda mpya.Kuhusu kukutana na hao niliowataja sio kweli thread imekaa kichit chat tuu
Sitaki kukuumbua tafadhali....
Naomba nikae kimya aiseeeeee
 
members ni zaidi ya 380k, hao hata 15 Hawafiki be sensational
 
Ila ni sir kama sio wewe...ila kama ni wewe haina haja ya siri.

Sijui umenielewa!
I got you
Be 100% sure kwamba sio mimi ,wala sihitaji kuwa fake zaidi ya mara moja
Being joanah inatosha sana tu

Nahisi umenielewa
 
Back
Top Bottom