Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Beauty Eva
Ni mfupi wa wastani, mweupe ,mwenye umbo dogo dogo hivi na mkimya sana. Ni mtu wa kanisani sana tu. Umri wake ni chini ya miaka 25.
Evelyn Salt
Huyu ni maji ya kunde, mwembamba na muongeaji sana. Ni wale wadada ambao hawachelewi kukupa makavu laivu. Umri wake ni kati ya 25 years na 35 years.
Miss Natafuta
Huyu mimi huwa siamini kama ni jinsia ya kike. Mwandiko wake na uumbaji wa sentensi zake unaonyesha kuwa ni jinsia ya kiume, ila ameamua kutumia jina la kike.
Ni kijana wa kiume mwenye umri wa kati ya miaka 22 na 28
MziziMkavu
Ni Ustaadh, mwenye umri wa kati ya miaka 40 na 50. Ni mtu aliyeshika sana dini na ni mtu mwenye busara sana.