Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Beauty Eva
Ni mfupi wa wastani, mweupe ,mwenye umbo dogo dogo hivi na mkimya sana. Ni mtu wa kanisani sana tu. Umri wake ni chini ya miaka 25.



Evelyn Salt
Huyu ni maji ya kunde, mwembamba na muongeaji sana. Ni wale wadada ambao hawachelewi kukupa makavu laivu. Umri wake ni kati ya 25 years na 35 years.


Miss Natafuta
Huyu mimi huwa siamini kama ni jinsia ya kike. Mwandiko wake na uumbaji wa sentensi zake unaonyesha kuwa ni jinsia ya kiume, ila ameamua kutumia jina la kike.

Ni kijana wa kiume mwenye umri wa kati ya miaka 22 na 28

MziziMkavu
Ni Ustaadh, mwenye umri wa kati ya miaka 40 na 50. Ni mtu aliyeshika sana dini na ni mtu mwenye busara sana.
 
Miss Natafuta unaitwa huku Central Police,eti ujibu tuhuma inayokukabili!!
 
Ukinitaja mimi nitakusifu hadi mwisho jf
 
Una nyodo flan za kujiona mzuri
Actually siyo mbaya kwa mtoto wa kike
Lakini mara nyingi wanazo wanawake weupe
Aisee!
Tangu nijiunge jf ndio mara ya kwanza napata comment ya namna hii

Naacha nyodo za kujiona mzuri kuanzia sasa hivi...only for you chief1
 
Aisee!
Tangu nijiunge jf ndio mara ya kwanza napata comment ya namna hii

Naacha nyodo za kujiona mzuri kuanzia sasa hivi...only for you chief1
Mind you
Siyo kitu kibaya
Ni yale mapozi ya kike tu
 
Miss Natafuta una la kujibu hapa[emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Kwaiyo usiyaache hayo mapozi ndo uanamke huo,na ndio tunapenda
Siyo mwanamke anakutajia kikosi kizima cha leicester city khaaa!
Hahah
Mi sipendi kuwa hivyo unavyosema na
najua sijawahi kuwa hivyo kwasababu kiuhalisia nna aibu sana sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…