Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Invisible nahisi ni mweusi mwenye ngozi ngumu kama ya goti na huwa hacheki!! Siyo salama kukaa naye karibu mahala penye giza mkiwa wawili tu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] utapigwa ban moja hatari, jf utakua invisible for the rest of your life
 
Inawezekana ni New id usishangae au alikuwa anatumia jf Kama viewers wa kawahda pasipo kusign in
All in all nimeview JF kwa miaka kadhaa tangu 2008 mpaka nilipopata ubavu wa kujoin baada ya kupata wajukuu nikasema yatakayonikuta tukisombwa wote hayaaa nimeacha mbegu. Ila siku ukijoin that is when you are a member. Guests are as many as 100 millions everyday.
 
Kwani umeambiwa utaje kabila au mtu alivyo wee mchokozi kaa nini
ila nimepatia kiduchu kabila lako etiiii! halafu nikishasema wewe ni mvulana wa kichaga sasa ni juu ya wasomaji kutafakari wavulana wa kichaga wakoje, tehe tehe tehe tehe
 
Back
Top Bottom