Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Kuna mada flani Mshana Jr aliielezea kule inteligence forum kuhusu mapozi ni mipangilio ya watu jinsi walivyo kaa kwenye picha.
Alisema kuna nguvu flani ambayo ndio hua inamfosi mtu akae style gani na ajipange vipi kwenye picha.
***********/*******/*****
My Take.
Mimi naona kua kuna nguvu flani pia ndio humfosi mtu kuweka Avatar ya picha flani. Na mara nyingi ile avatar asilimia kubwa hubeba muonekano wake halisi.
Mfano. Mm nimemuweka hapa Wentworth miller kwasababu naona tunashare something common. I.e Ukimya. Upole. Etc
 
Aisee
 
Back
Top Bottom